Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

Sitoshangaa kesho Rais akisimama na kusema uchumi unakua kwa 7% kwasababu wamezoea kutudanganya.
Sio Rais aseme hata huyu mbumbu report aliyoileta inaipasha Tanzania ila sababu lugha ni tatizo mmeshindwa kulijua hilo,

Soma paragraphs ya pili kutoka mwisho

Tanzania projects its economy to grow 7.1 percent this year from 7.0 percent in 2016, making it one of the fastest-growing in Africa.
 
Kuna habari mbili, moja ya mwaka jana na nyingine ni ya Aug 10, 2017 by Reuters AF (UPDATE 1-Tanzania Q1 growth slows to 5.7 pct).
 
Na hao Reuters wehu? Quarter ya mwaka huu wa fedha imekwisha? Au sisi ndiyo wehu tusioelewa tunachokisoma?
Government financial year ni tofauti . GDP first quarter ni Jan - March.
Government financial year first quarter ni Jun - Sept.
 
Jamani achana siasa angalia majengo maghorofa enzi ya kikwete na sasa barabara ni zilezile alizoacha kikwete but zinajengwa slow sana five years hazita kamilika
Usainii mwingi reli inajengwa midomoni site hakuna mtu
 

Malengo yalikua 7.1, lakini malengo hayajafikiwa.
 
This is what I call cheap politics

Sent using Jamii Forums mobile app
cheap politics ni wale wanaowekeza kwenye service industries, bila ya kuwa na economic base nzuri, na economic base stable kwa Tanzania itatokana na kuwekeza kwenye infrastructure na uzalishaji wa primary products, na secondary products ambazo zitaongeza mzunguko wa pesa na nyingine sasa kuangukia billicanas .
 
Nchi inapaswa kusaidia wananchi wake kuona fursa, kupata masoko na kuwa na mahusiano mazuri na watu wengine ili movement zilete tija . Yeye alipaswa azuie wizi sio azuie hata watu kufanikiwa...
Serekali itakusaidia kwa kukupa elimu ili ujue kuna fursa, pia barabara , umeme na afya bora nk ndio itakuwezesha kutoa mazao yako sehemu fulani kuyapeleka iwe Sudan, nk kuya process, ku ya pack etc.
 

Tumeelewa chuki zako dhidi ya lipumba na mwakiembe



Sent using Jamii Forums mobile app
 
..exactly.. Nyingine wanazichukua hazina kimya kimya kwenda kujenga kwao...Nakugawa mabarabarani kama njugu....BTW sijui kama huwa wanaangalia taarifa za uchumi....ama soko la hisa Dar (DSE)lilivyodorora.....tuna shida kubwa mbeleni kama nchi...wao wanaona raha kuwavuruga wawekezaji wakuu...maana haiwaumi...

Wanatoa pesa kwenye mizunguko wanazipeleka hazina then wanazitoa huko kimya kimya kwenda kulipia Bombardier....
 
Juzi ombaomba wamekuja mauno ya hatari hapa jf eti billgates kawapa 780bn wakti ni stori za kutunga,nani awape msaada kwa ujinga wanaofanya;msaada wowote wa marekani hawatapata nawashauri waugue mabusha ndio wapate msaada wa gates kutibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
production na consumption kwa ujumla ilikuwa inakuwa kwa 7% sasa inakuwa 5.7%
bila kufanya tathimini ya source ya hiyo revenue ilioyokuwa inakwenda kwenye consumption itakuwa kamakufukuza upepo/au kumpigia mbuzi guitar
 
bila kufanya tathimini ya source ya hiyo revenue ilioyokuwa inakwenda kwenye consumption itakuwa kamakufukuza upepo/au kumpigia mbuzi guitar

Sources inajulikana - construction, banking, telecoms etc. Mbona maelezo yapo kwenye repoti
 
Sources inajulikana - construction, banking, telecoms etc. Mbona maelezo yapo kwenye repoti
was it sustainable , ?? maana mitaji ya social security funds nyingi imetetereka kwa sababu ya huo uchumi wako uliokuwa unakuwa kwahiyo 7.1%
pili ulikuwa unaongeza ajira rasmi? au ndio huu wa "marching guys" aka machinga, na Mama lishe, Boda Boda nk?
Hii informal sector ilikuwa inaongeza makusanyo ya kodi? na kwa kiasi gani vs hatua za sasa hivi zinazo chukuliwa.
Je hiyo growth ya 7.1% ilikuwa ina kuza quality of our leaving standards au ulikuwa unakuza makazi hole , ukiwa na vitungu, nyanya nk unauza barabarani, mbele ya parking lot nk nk.
Na hata hayo Maghorofa mengi iwe PPF Hse etc , tower nk hayana ule mvuto kwa sababu ya lack of parking na proper planning.
licha ya kwamba bongo ardhi ni ya serikali, lakini tumeshindwa kuwa na mfumo bora wa mipango miji na hii ndio huchoche biashara, ukusanyaji kodi, investment wenye service industries, utalii na uwekezaji mwingine.
na hiyo Growth bora ni ile ya kukosa vitanda hospitalini, ma desk shuleni na kuwa na barabara mbovu kama ya akachube? etc etc
 

Kiongozi, kwanza kabisa uchumi ni wakwetu sio wa kwangu na hizo figures sijatoa mimi. Uchumi kukua haina maana nchi ni developed. Nchi zenye growth rate kubwa ni zile underdeveloped kwa sababu there is space to grow. Ukianzisha kampuni ndogo na weteja 10 mwaka huu alafu mwaka kesho ukawa na weteja 20 ni growth rate kubwa (100%) kuliko kampuni yenye wateja millioni moja mwaka huu wakaongezeka wakawa millioni moja na nusu (50% growth). Huu ndio upimaji wa "growth rate". Growth rate sio size kwa hiyo unavyotoa mifano ya upungufu na matatizo nchini kama sababau ya kupinga growth rate nadhani haujaelewa vizuri. Kwenye highest growing economies duniani Tanzania ilikuwa ya tano lakini bado ni nchi maskini sana. USA haipo kabisa top ten highest growing economies. Growth rate yao ni around 1.6%.
 
uchumi unakua jamani c mnaona hata yeye anatembea na mabulungutu ya hela kwenye gari yake[emoji13]
viwanda vinazidi kujengwa
TRA wanazidi kuvuka malengo yaukusanyaji
matrafic ndo usiseme wanakusanya milions per day
bashite anazidi kunenepa tu
 
Wenye utaalam wa uchumi tusaidieni, ni nini maana ya uchumi kukua kwa asilimi 1, na nini maana ya uchumi kupungua kwa asilimia 1, je impact yake ni ipi?. Naomba elimu tafadhali
A Decrease or increase in figures that do not add value to peasant's wellbeing is irrelevant! Its stupid to cerebrate the increase of economic figures steered by foreign investments If a common person and the govt. is not a beneficiary ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…