Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Khassim kuupata urais ni Majaliwa, anaponzwa na watu wa jiwe ambao wamewekeza kwake.

Pia ameshindwa kusuka mifumo, badala yake akawa anavizia watu, Sasa mfumo wa kumvizia mwizi wa Mali za umma huwa unakwama kwa kuwa huwezi kuwa mahali pote wakati wote.

Khasimu mfumo wake wa uongozi ulifit enzi za jiwe
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Your speculations, your observation.......................makes good speculation
 
Binafsi sioni kama wanataka wamtoe ila CCM ni wajanja sana wanamtengenezea njia Majaliwa ya Urais.

Washaona hawana wakumsimamisha na mtu pekee alie katika system anae eleweka utendaji kazi wake ni PM.

Chakufanya ili wakamilishe mchezo wao, wanafanya kama kwa JPM kabla hajawa waziri, wanamchonganisha na wana CCM wengine abaki ONE MAN ARMY halafu wakishafanikiwa kumchonganisha.

Wanamtupa kwa wananchi, ambao kwa asilimia 90 wataona PM anafaaa, Chaguzi za Rais zikifika Jina CCM wanatoa jina la MAJALIWA. hakika lazima wapite na kijiji cha kura.

CCM ni moja ya chama ambacho kinapomuandaa Rais wake kinamfanya Adui wa chama adui wa wa ilani yake halafu kinaangalia respond ya wananchi.

Katika yanayoendelea sitoshangaa sana nikisikia Majaliwa kajiuzuru halafu akaja tena teuliwa kuchukua fomu ya urais kwa kulazimishwa.

Msiwaangalie CCM kama malofa hiki chama kina mfumo wa 4 4 2 ukikiangalia juu juu huwezi kielewa.
 
Ila mkuu uliyoyasema, kwa Lowassa yote yalikuwa yanafit - alifarakanishwa na wakuu wake chamani, wananchi wakawa wanamkubali ila bado kina JK wakamchinjia baharini
 
Kalemani alikuwa takataka
Kalemani takataka kwako ksbb labda ya malengo yako. Lakini kwa masikini alikuwa bonge la mtu kwa Tanesco.

Kipindi chake tu ndio umeme ulishaanza kuwa historia kukatwa. Ameondoka tu upigaji wa akina February ukarudi kwa kasi. Kipindi cha Kalemani tu kuunganishiwa umeme ilikuwa ni elfu 27000 tu. Haijawahi kutokea kwa yoyote,hata walivyomtoa wakapeleka kwenye laki 4 kasoro,na hawakuwa na sababu zaidi ya kusema haiwezekani. Yeye akawajibu inawezekana kulipia 27000 tu na kila kitu kikawa sawa.

Maana yake hata hizi laki 4 kasoro hazina tija ksbb wangesema laki 4 na umeme unakuwa sawa,lakini ndio umerudi enzi ambazo hatujawahi kuzipitia.

Fikiria Magu alimtoa lakini akamrudisha tena.
Kale alikuwa anapigwa figisu na wapigaji aliwazuia kujipigia. Ndio maana walivyoingia tu wao wakamchomoa na upigaji ukarudi
 
Ila mkuu uliyoyasema, kwa Lowassa yote yalikuwa yanafit - alifarakanishwa na wakuu wake chamani, wananchi wakawa wanamkubali ila bado kina JK wakamchinjia baharini
siuoni ubaya wa PM kiasi cha kufanyiwa haya nahisi tu kuna maandalizi behind the scene,sidhani kama CCM ni wajinga wana jambo lao hao.
 
Mbona Makonda karudishwa. Nadhani ulichosema kibakie kuwa opinion siyo facts.
Makonda hakuwahi kutolewa na Samia, aliachia kipindi cha Magufuli.

Yote kwa yote, Makonda kawekwa pale kwa kazi maalum (kutikisa mbuyu mpaka ung'olewe) na amekwisha kuianza kwa nguvu zote, ikikamilika na kazi yake huenda itakuwa imekwisha. Makonda ni kama Condo.....!
 
Hana baya mzee wangu na yeye anajua na yupo tayari kashajiandaa kisaikolojia
Anasubiri nini? Viongozi wa kiafrika hawajali legasi bali ulaji kwanza. Angekuwa mwingine kashaachia ngazi.

Waliposema tu' Akina Kassimu walinambia nitakuwa Rais wa Mpito, nikasoma Kijikatiba nikasema imeamdikwa wapi"

Pale pale alitakuwa astep down
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Pia Polepole
 
Mbona Mama aliahidi kumlipa mema akiwa kwenye mkutano Lindi?
 
Back
Top Bottom