econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbona Makonda karudishwa. Nadhani ulichosema kibakie kuwa opinion siyo facts.
Makonda ni snitch. Umesahau kifo Cha Membe na alichosema Makonda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Makonda karudishwa. Nadhani ulichosema kibakie kuwa opinion siyo facts.
Ninachojua Kinda kaingia na kupanda juu kwa msaada wa Msoganzila. Na hajawahi na bado hajawasaliti wana.Mbona Makonda karudishwa. Nadhani ulichosema kibakie kuwa opinion siyo facts.
Binafsi sioni kama wanataka wamtoe ila CCM ni wajanja sana wanamtengenezea njia Majaliwa ya Urais.
Washaona hawana wakumsimamisha na mtu pekee alie katika system anae eleweka utendaji kazi wake ni PM.
Chakufanya ili wakamilishe mchezo wao, wanafanya kama kwa JPM kabla hajawa waziri, wanamchonganisha na wana CCM wengine abaki ONE MAN ARMY halafu wakishafanikiwa kumchonganisha.
Wanamtupa kwa wananchi, ambao kwa asilimia 90 wataona PM anafaaa, Chaguzi za Rais zikifika Jina CCM wanatoa jina la MAJALIWA. hakika lazima wapite na kijiji cha kura.
CCM ni moja ya chama ambacho kinapomuandaa Rais wake kinamfanya Adui wa chama adui wa wa ilani yake halafu kinaangalia respond ya wananchi.
Katika yanayoendelea sitoshangaa sana nikisikia Majaliwa kajiuzuru halafu akaja tena teuliwa kuchukua fomu ya urais kwa kulazimishwa.
Msiwaangalie CCM kama malofa hiki chama kina mfumo wa 4 4 2 ukikiangalia juu juu huwezi kielewa.
SaanaHakuna cheo chenye lawama na kigumu kama cha uwaziri mkuu.
Binafsi naona majaliwa ana ustahimilivu mkubwa kwa kiasi chake, tokea enzi za hayati vile alivyokuwa anasemwa hapa na pale, mara kupigwa kwa shangazi zake.
Kipindi cha hayati kutoonekana na kufariki kwake majaliwa alibeba lawama kwa kiasi chake kwa taarifa zisizo wiana.
Kipindi alichopo sana yalipo tokea huko bungeni alisemwa yeye kimtindo, kauli ya huko bungeni kwa kina kasimu!
Kuletewa msaidizi , kuagizwa na muenezi aliye ofisini kwa siku mbili hali yeye yupo madarakani kwa miaka nane karibu.
Nadhani kabisa ameshajiandaa kisaikolojia ndio maana kila aonekanapo amejaa tabasamu.
Pamoja na yoote lakini amejitahidi sana kuongoza , wananchi hatuna deni naye.
Huu ni ukweli MchunguTeuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Reforms na Rebuilding ya mama Samia si mchezo. Mliozowea kuishi kimazowea mtakuja na kila hoja ya kijinga.Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Unaonaje akianza kufikishwa JK na Makamba?Aondoke tu hana msaada wowote kwa nchi, kwanza afikishwe mahakamani kwa uhujumu uchumi
Alisemaje?Makonda ni snitch. Umesahau kifo Cha Membe na alichosema Makonda?
Ata akitoa taarifa sehemu husika,bila utayari wa mfumo kuchukua hatua basi ni kazi bureReforms na Rebuilding ya mama Samia si mchezo. Moiozowea kuishi kimazowea mtakuja na kila hoja ya kijinga.
Majaliwa niliwahi kuandika uzi kuhusu yeye siku nyingi sana.
Binafsi, bilankutafuna maneno namuona Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa ni mnafik na ameshindwa kabisa yake.
Haiwezekani Halmashauri zote na idara zote nyeti zilizochini yake ziwe na madudu nanyupo hapo kwa miaka.
Majaliwa anaufahamu wizi wote unaoendelea serikalini na anaufumbia macho au kwa makusudi, usaliti, au kwa kuwabhayupo "competent".
Madudu yanayoongeleqa bungeni ilikuwa inataiiwa Majaliwa awachie ngazi yeye mwenyewe kabla hajaambiwa na mtu.
Dudu moja tu lilimfanya Lowassa awachue ngazi.
Yeye, wizqra zake zina madudu kila namna, kwa ufupi mlMajaliwa kazi imemshinda.
Wizara Gan yenye madudu ipo Ofisi ya Waziri Mkuu?Reforms na Rebuilding ya mama Samia si mchezo. Moiozowea kuishi kimazowea mtakuja na kila hoja ya kijinga.
Majaliwa niliwahi kuandika uzi kuhusu yeye siku nyingi sana.
Binafsi, bilankutafuna maneno namuona Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa ni mnafik na ameshindwa kabisa yake.
Haiwezekani Halmashauri zote na idara zote nyeti zilizochini yake ziwe na madudu nanyupo hapo kwa miaka.
Majaliwa anaufahamu wizi wote unaoendelea serikalini na anaufumbia macho au kwa makusudi, usaliti, au kwa kuwabhayupo "competent".
Madudu yanayoongeleqa bungeni ilikuwa inataiiwa Majaliwa awachie ngazi yeye mwenyewe kabla hajaambiwa na mtu.
Dudu moja tu lilimfanya Lowassa awachue ngazi.
Yeye, wizqra zake zina madudu kila namna, kwa ufupi mlMajaliwa kazi imemshinda.
Msimamo wa uchaguzi 2025 kukiwa na Tume huru ya uchaguzi ndio kutamfanya Samia ajue Rungu ni nani na alipatwa na nini kwenye uchaguzi Zambia.Akifanikiwa kumungoa tu, kitakachofuata ni zamu yake na yeye kungolewa ili na yeye ayapate machungu ya kuwangoa wenzake...
Hiyo ni siri ya wazi ... maandishi yako ukutani. "The writing is on the wall'Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Kwa hivyo mama anatengenezs njia kutoa ccm madarakani. Pale mwanzo akihojiwa na chombo kimoja cha huko ubeberuni alijidai yeye analeta demokrasia hatajali hata ccm ikipoteza uchaguzi. Hii ni lugha wanapenda mabeberu kusikia. Asichojua mama ni kwamba demokrasia yetu kwa mabeberu ni kuwapa mwanya kuendelea kututawala kiuchumi. Watanzania wameshajua viongozi wanaowataka. Kama mama anajitengenezea njia kupitia ccm ajue ccm itatoshwa madarakani.Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Wewe empty kabisa. Lowasa alitolewa kafara na JK Kwa ahadi za uongo.Reforms na Rebuilding ya mama Samia si mchezo. Moiozowea kuishi kimazowea mtakuja na kila hoja ya kijinga.