Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
hao walioondolewa wana umuhimu gani ktk hili Taifa? Usiturudisha ktk ntakati za giza tumeshapita huko. Washamba mmezoea kuishi kwa ramli, Rais akitaka kumwondoa waziri mkuu hana haja ya kumzunguka labda km hujui maana ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Ata akitoa taarifa sehemu husika,bila utayari wa mfumo kuchukua hatua basi ni kazi bure
Yeye ndiye muhusika, halafu atowe taarifa wapi tena?

Watoa taarifa wapo chadomo, ACT na kina hashim. Wanatosha kutowa taarifam yeye anatakiwa awe na votendo zaidi.

Mpaka sasa anachezewa na watoto wadogo akina makonda na biyeko, ina maana kashindwa kabisa, awachie ngai tu.

Niliwahi kuandika hivi:

Ningekua rais ningefuta vyeo vingine vyote sijui waziri mkuu,makamu wa raisi,dc,das,Ras vyote futilia mbali, mawaziri wangekua 20 tu na hao hao wangekua wabunge,,, hizo hela zingeenda kufanya maendeleo mingine sio kujaza watu hata wanavyofanya havionekani,,
Na kwa Mawazo haya hata ujumbe wa Kanati ya Burudani na Michezo ya Mtaa hupati!
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
SIYO LAZIMA AWE MAJALIWA
 
Reforms na Rebuilding ya mama Samia si mchezo. Moiozowea kuishi kimazowea mtakuja na kila hoja ya kijinga.

Majaliwa niliwahi kuandika uzi kuhusu yeye siku nyingi sana.

Binafsi, bilankutafuna maneno namuona Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa ni mnafik na ameshindwa kabisa yake.

Haiwezekani Halmashauri zote na idara zote nyeti zilizochini yake ziwe na madudu nanyupo hapo kwa miaka.

Majaliwa anaufahamu wizi wote unaoendelea serikalini na anaufumbia macho au kwa makusudi, usaliti, au kwa kuwabhayupo "competent".

Madudu yanayoongeleqa bungeni ilikuwa inataiiwa Majaliwa awachie ngazi yeye mwenyewe kabla hajaambiwa na mtu.

Dudu moja tu lilimfanya Lowassa awachue ngazi.

Yeye, wizqra zake zina madudu kila namna, kwa ufupi mlMajaliwa kazi imemshinda.
Majaliwa anafanya kazi na incompetent prezda, siku zote ukifanya kazi na mkubwa wako hajui mambo utakata tamaa na kuyaacha yaende yanavyoenda. PM is very competent, wa juu yake ndio majanga, hana uelewa wa mambo au hajui namna ya kutatua changamoto.
 
Aisee hivi kwann tusijikite kwenye solar tu?
Umeme ni kero
Hapo tuliolala ni wananchi tu dadaangu. Hivi unafikiri hapo nchi jirani wanaweza kuvumilia Ujinga wa hivyo?. Ni sisi tu tumelala.

Hapo ilitakiwa tunapeleka messege kitu gani tunakitaka. Hata kwa hashtag tu. Mfano huyu Kalemani alitufaa sana kwenye umeme huyu bwana. Kazi ilikuwa yetu sisi wananchi kumpigania asiondolewe. Ingewezekana mpaka afikie ngazi ya uwaziri wa nishati. Huyu alitufaa sana wananchi kwenye umeme huyu
 
Hapa iko sababu! Yaani Faiza ampige vijembe Mujahideen mwenzake? Sio bure labda Majaliwa ana kamchanganyiko na upande wa pili. Maana faiza hata kumuonyesha punda na kumwambia huyo ni mwenzetu katika imani hatajali kuwa ni punda atamtetea tuu
ninachojivunia cha kwanza kabisa katika Uislam ni haki.

Uislam unanifunidisha kuukubali ukweli na kutenda haki hata kama ni chungu.
 
Nilikuwa namkubali sana mwamba kipindi cha mwendazake. Sasa ni mbwa asiye na mkia. Kakatwa mkia mwamba anajitilia huruma tu.
Hana shida huyo mtu ni vile anafata taratbu na kanuni zinavyomtaka lakini nakuhakikishia Wakimkabidhi makali.

Anaweza kuleta utamu ule ule aliokua anauleta JPM ana hoji haogopi ila sasa hv anashindwa kufanya mengi maana anaogopa wasije mchonganisha na RAIS akaonekana yeye ndio bora kuliko Rais.

kwahyo kuna mengi anayaona anakausha si unajua protokali inazingatiwa... wajiloge wampe kijiti uone atavyogeuza asali kuwa shubiri.
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
magufuli aliondolewa na nani?
 
Shida ilianzia hapa.

Je alidanganya au naye alidanganywa?

Au ndio the end justifies the means?
images (16).jpeg
 
Anasubiri nini? Viongozi wa kiafrika hawajali legasi bali ulaji kwanza. Angekuwa mwingine kashaachia ngazi.

Waliposema tu' Akina Kassimu walinambia nitakuwa Rais wa Mpito, nikasoma Kijikatiba nikasema imeamdikwa wapi"

Pale pale alitakuwa astep down
Bifu lilianzia hapo... Majaliwa ni mvumilivu sioni mapungufu yake yeye ni muwajibikaji mzuri serkalini sisi tunataka watendaji
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Wote Hawa ni watoto wa mama mmoja anayeitwa CCM kwahyo wanapopigana we kaa pembeni uangalie pambano mwisho wa cku utajua nani mshindi
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Kama ingekuwa ni mimi ningeamua kuendelea tu na wadhifa wangu mpaka pale nitakapoambiwa sasa basi !!
Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Back
Top Bottom