Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao walioondolewa wana umuhimu gani ktk hili Taifa? Usiturudisha ktk ntakati za giza tumeshapita huko. Washamba mmezoea kuishi kwa ramli, Rais akitaka kumwondoa waziri mkuu hana haja ya kumzunguka labda km hujui maana ya Rais wa jamhuri ya muungano wa TanzaniaTeuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Yeye ndiye muhusika, halafu atowe taarifa wapi tena?Ata akitoa taarifa sehemu husika,bila utayari wa mfumo kuchukua hatua basi ni kazi bure
Na kwa Mawazo haya hata ujumbe wa Kanati ya Burudani na Michezo ya Mtaa hupati!Ningekua rais ningefuta vyeo vingine vyote sijui waziri mkuu,makamu wa raisi,dc,das,Ras vyote futilia mbali, mawaziri wangekua 20 tu na hao hao wangekua wabunge,,, hizo hela zingeenda kufanya maendeleo mingine sio kujaza watu hata wanavyofanya havionekani,,
SIYO LAZIMA AWE MAJALIWATeuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Majaliwa anafanya kazi na incompetent prezda, siku zote ukifanya kazi na mkubwa wako hajui mambo utakata tamaa na kuyaacha yaende yanavyoenda. PM is very competent, wa juu yake ndio majanga, hana uelewa wa mambo au hajui namna ya kutatua changamoto.Reforms na Rebuilding ya mama Samia si mchezo. Moiozowea kuishi kimazowea mtakuja na kila hoja ya kijinga.
Majaliwa niliwahi kuandika uzi kuhusu yeye siku nyingi sana.
Binafsi, bilankutafuna maneno namuona Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa ni mnafik na ameshindwa kabisa yake.
Haiwezekani Halmashauri zote na idara zote nyeti zilizochini yake ziwe na madudu nanyupo hapo kwa miaka.
Majaliwa anaufahamu wizi wote unaoendelea serikalini na anaufumbia macho au kwa makusudi, usaliti, au kwa kuwabhayupo "competent".
Madudu yanayoongeleqa bungeni ilikuwa inataiiwa Majaliwa awachie ngazi yeye mwenyewe kabla hajaambiwa na mtu.
Dudu moja tu lilimfanya Lowassa awachue ngazi.
Yeye, wizqra zake zina madudu kila namna, kwa ufupi mlMajaliwa kazi imemshinda.
Hapo tuliolala ni wananchi tu dadaangu. Hivi unafikiri hapo nchi jirani wanaweza kuvumilia Ujinga wa hivyo?. Ni sisi tu tumelala.Aisee hivi kwann tusijikite kwenye solar tu?
Umeme ni kero
ninachojivunia cha kwanza kabisa katika Uislam ni haki.Hapa iko sababu! Yaani Faiza ampige vijembe Mujahideen mwenzake? Sio bure labda Majaliwa ana kamchanganyiko na upande wa pili. Maana faiza hata kumuonyesha punda na kumwambia huyo ni mwenzetu katika imani hatajali kuwa ni punda atamtetea tuu
sawa MboweCCM ipi? Hii inayomtegemea Jecha kufuta uchaguzi inaposhindwa?. Punguza uongo na maneno mengi.
Hana shida huyo mtu ni vile anafata taratbu na kanuni zinavyomtaka lakini nakuhakikishia Wakimkabidhi makali.Nilikuwa namkubali sana mwamba kipindi cha mwendazake. Sasa ni mbwa asiye na mkia. Kakatwa mkia mwamba anajitilia huruma tu.
magufuli aliondolewa na nani?Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Bifu lilianzia hapo... Majaliwa ni mvumilivu sioni mapungufu yake yeye ni muwajibikaji mzuri serkalini sisi tunataka watendajiAnasubiri nini? Viongozi wa kiafrika hawajali legasi bali ulaji kwanza. Angekuwa mwingine kashaachia ngazi.
Waliposema tu' Akina Kassimu walinambia nitakuwa Rais wa Mpito, nikasoma Kijikatiba nikasema imeamdikwa wapi"
Pale pale alitakuwa astep down
Wote Hawa ni watoto wa mama mmoja anayeitwa CCM kwahyo wanapopigana we kaa pembeni uangalie pambano mwisho wa cku utajua nani mshindiTeuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Labda George SimbachaweneHalafu akitoka Majaliwa nani anakaa kwenye hiyo nafasi?
Kama ingekuwa ni mimi ningeamua kuendelea tu na wadhifa wangu mpaka pale nitakapoambiwa sasa basi !!Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.