Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti dotoHalafu akitoka Majaliwa nani anakaa kwenye hiyo nafasi?
Kalemani ndio waziri pekee Alie iweza wizara ya nishatiKalemani takataka kwako ksbb labda ya malengo yako. Lakini kwa masikini alikuwa bonge la mtu kwa Tanesco.
Kipindi chake tu ndio umeme ulishaanza kuwa historia kukatwa. Ameondoka tu upigaji wa akina February ukarudi kwa kasi. Kipindi cha Kalemani tu kuunganishiwa umeme ilikuwa ni elfu 27000 tu. Haijawahi kutokea kwa yoyote,hata walivyomtoa wakapeleka kwenye laki 4 kasoro,na hawakuwa na sababu zaidi ya kusema haiwezekani. Yeye akawajibu inawezekana kulipia 27000 tu na kila kitu kikawa sawa.
Maana yake hata hizi laki 4 kasoro hazina tija ksbb wangesema laki 4 na umeme unakuwa sawa,lakini ndio umerudi enzi ambazo hatujawahi kuzipitia.
Fikiria Magu alimtoa lakini akamrudisha tena.
Kale alikuwa anapigwa figisu na wapigaji aliwazuia kujipigia. Ndio maana walivyoingia tu wao wakamchomoa na upigaji ukarudi
Mzee wa "Rais yuko vzr anapiga kazi"Aondoke tu hana msaada wowote kwa nchi, kwanza afikishwe mahakamani kwa uhujumu uchumi
Leo umeandika kwa haraka sna na kwa kuchapiaReforms na Rebuilding ya mama Samia si mchezo. Mliozowea kuishi kimazowea mtakuja na kila hoja ya kijinga.
Majaliwa niliwahi kuandika uzi kuhusu yeye siku nyingi sana.
Binafsi, bila kutafuna maneno namuona Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa ni mnafik na ameshindwa kabisa yake.
Haiwezekani Halmashauri zote na idara zote nyeti zilizochini yake ziwe na madudu nanyupo hapo kwa miaka.
Majaliwa anaufahamu wizi wote unaoendelea serikalini na anaufumbia macho au kwa makusudi, usaliti, au kwa kuwabhayupo "competent".
Madudu yanayoongeleWa bungeni ilikuwa inataiiwa Majaliwa awachie ngazi yeye mwenyewe kabla hajaambiwa na mtu.
Dudu moja tu lilimfanya Lowassa awachue ngazi.
Yeye, wizra zake zina madudu kila namna, kwa ufupi mlMajaliwa kazi imemshinda.
Wakupazwa kuondoka hapa Ni Samia bhnaHuyu aondoke tu, kwanza amejiingiza kwenye biashara ya korosho na ananunua Kwa bei kandamizi ya 1970/@kg dhuluma kubwa kwa wakulima halafu no ndugu zake, Mama kula kichwa tu
Kaka katika imani amemwoa MaryNitakuwa wa mwisho kuamini hili.....kaka yake kbs katika imaan nasubiri atolewe nitaamini
Kalemani ndio waziri pekee Alie iweza wizara ya nishati
HAPO NIMEJARIBU KUKUELEWAA!Binafsi sioni kama wanataka wamtoe ila CCM ni wajanja sana wanamtengenezea njia Majaliwa ya Urais.
Washaona hawana wakumsimamisha na mtu pekee alie katika system anae eleweka utendaji kazi wake ni PM.
Chakufanya ili wakamilishe mchezo wao, wanafanya kama kwa JPM kabla hajawa waziri, wanamchonganisha na wana CCM wengine abaki ONE MAN ARMY halafu wakishafanikiwa kumchonganisha.
Wanamtupa kwa wananchi, ambao kwa asilimia 90 wataona PM anafaaa, Chaguzi za Rais zikifika Jina CCM wanatoa jina la MAJALIWA. hakika lazima wapite na kijiji cha kura.
CCM ni moja ya chama ambacho kinapomuandaa Rais wake kinamfanya Adui wa chama adui wa wa ilani yake halafu kinaangalia respond ya wananchi.
Katika yanayoendelea sitoshangaa sana nikisikia Majaliwa kajiuzuru halafu akaja tena teuliwa kuchukua fomu ya urais kwa kulazimishwa.
Msiwaangalie CCM kama malofa hiki chama kina mfumo wa 4 4 2 ukikiangalia juu juu huwezi kielewa.
Ngoja tuone nape anasemaje.manake wamwera huwa wanabebana🙏Ngoja tusubiri.
Kama sio wazee Magu alikua amle kichwa.Ana shida gani??
Waambie ni kusini na nyanda za juu kusini,kale kamama hatukaelewiWamtoe Majaliwa halafu watu wa kusini tuwakirishwe na nani serikalini? Majaliwa ni kiunganishi kizuri sana cha ccm na serikali yake na watu wa kanda ya kusini. Kama mnataka kuunda serikali ya wakaskazini peke yenu, basi mwondoeni Majaliwa. Yatakayowatokea kwenye uchaguzi msije mkatulaumu sisi.
THEY SHOULD NEVER DO THIS!, WATAJUTA!,Sio rahisi kama kunywa maji ukiwa na kiu majaliwa ni ngome ya kusini baada ya marehemu mzee membe. Na kama wakisubutu kuleta za kuleta majimbo yote ya kusini watachukua ACT na chadema
Anapiga kazi huku ameshindwa kusimamia mali za umma?Mzee wa "Rais yuko vzr anapiga kazi"
We mpuuzi nini? huoni kashindwa kusimamia mali za umma! nani mtendaji mkuu wa serikali?Kafanya nni huyu babaa mchapakazi
Hao DS hawakumuona huyu aliyepo sasa!!!?? Ni upuuzi tu hakuna cha DS wala nini. Ile kamati ya maadili ya MCC ndo wanaopanga nani awe namba moja na hakuna zaidi ya hapo.Wala sio jk!!ni wenye nchi Yao DS ndio hawkumtaka coz angeingia yangekua yale yale ya upigaji ya awamu ya nne halafu vurugu tu za visasi na wizi!!
Kumbuka kampeni zake zilifadhiliwa na wafanyabiashara wale ambao angewalipa fadhila na u Mungu mtu ungetamalaki nchini!!
Hata hivyo mlutheri asingeingia ikulu pia Bado wale jamaa wasingekubali!!
Kwani Nape ni wa wapi!?Wamtoe Majaliwa halafu watu wa kusini tuwakirishwe na nani serikalini? Majaliwa ni kiunganishi kizuri sana cha ccm na serikali yake na watu wa kanda ya kusini. Kama mnataka kuunda serikali ya wakaskazini peke yenu, basi mwondoeni Majaliwa. Yatakayowatokea kwenye uchaguzi msije mkatulaumu sisi.