Aina shida nikija December ntanunua jifunze kauli kwa wazee bado kijana unaitaji watu sna umenikela sna kwa matusi juu ya mzee Mohamed Said fanya halaka umbe radhi kwa kauli zako za kishenzi...Mkuu hiki ulichonunua kilikuwa majaribio tu ya soko, kitabu halisi kinakura 715.
Mzee wangu inaonesha unapenda sana wazungusha vijana vijiwe vya kahawa na kuwapa utam wa historia nusunusu.(utani )..nadhan ungekua kwe sehemu mzuri zaidi kama ungetupa link tusome hiyo historia unayoijua kwani kwa jinsi unavyojitanabaisha ni kama weye ulishushiwa hiyo historia toka mbinguni...kama ulipata bahati ya kusimuliwa kujisifu tu bila kuiweka kama ilivyo unatuchanganya sis vijana ambao hatukupata bahati ya kuiona no bora basi hata huyo yericko nyerere alijaribu kutuonjesha hata kama haikuiva kisawasawa kama unavyojaribu kutuaminisha...nawasilisha
Yericko Nyerere yupo wapi ajibu tuhuma hizi? Matango pori ni mengi sana hapa JF! Huwezi jua lipi ni lipi.
Mjadala wa mapinduzi ya Zanzibar kwa muktadha wa Mohamed Said unaacha maswali
Kwa muda mrefu nimemuuliza Mohamed, maandiko yake yanaonyesha mapinduzi kuchagizwa kutoka nje ya Zanzibar na si kwa ridhaa ya Wazanzibar. Kwa mantiki hiyo mapinduzi yana 'Uharamu'
Januari 12 Wznz wanasherehekea Mapinduzi wanayotaita 'matukufu'
Kwa jicho la Mohamed hayakuwa na 'uhalali' achilia mbali damu iliyomwagika
Je, Mohamed anawaeleza nini Wazanzibar inapofika Januari 12?
Wanasherehekea 'haramu' au 'halali' yenye Uharamu?
Naona umeonyesha ulivyofanya kazi ktk ushauribwangu wa pili ilioutumia kama hitimisho langu..
Lkn nimepitia moja baada ya nyingine nimeona bado hujajitendea haki ww mwenyewe na sisi wasomaji.
Ulichofanya ni kidogo kuliko uwezo wako..
Kubwa ulilofanya ni hili la kumshambulia Yericko na kitabu chake kwa kumwita majina yote.
Ushauri na maneno mengine niliyoyaeleza hapo tafadhali yafanyie kazi.
Tuone Tamthilia ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa filam au kwa Audio au kitabu au kwa mashairi n.k
Aufwidersehen!
Ridhwani Mbaraka
Ridhwani,
Umerudi mtu mwingine kabisa.
Nimefurahi.
Unaandika katika lugha ya kistaarabu na kwa adabu.
Ahsante sana.
Nakuwekea baadhi ya niliyoandika:
Ridhwani,
- PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
- The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
- The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
- Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
- Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
- Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
- In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
- Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
- Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
- The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
- Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
- The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
- Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
- Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
- Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
- Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
- Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
- 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
- Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Mimi ni mhariri, mfasiri na pia ni ''publisher.''
Kusoma na kuandika ndiyo maisha yangu.
Nimejifunza kusoma labda nina miaka sita na bado sijakwenda shule.
Nakueleza haya ili tuelewane na tuende vyema.
Wacha kujimilikisha historia as if wewe ni pekee uliyoyaona na kushiriki mapinduzi ya 1964.Historia ni amali ya jamii kwanini unataka wewe tu ndo mwenye vyanzo sahihi,lazima unamatatizo sehemu.Historia haiwezi kutaja kila mtu bali key figures.Unataka ulete historia yako ile huyu ndo alikuwa anampa kitoweo mwl.nonsense.Ridhwani...
Una jina zuri sana na naamini unajua maana yake.
Huba sababu ya kunitishia kutukana.
Ikiwa hiyo ndiyo hulka yako usijuzuie fanya lile linalokupendeza
usijali uzee wangu.
Ikiwa umelelewa katika nyumba isiyo na adabu nani wa kukubadili
katika umri huo uliofika?
Mimi sijaandika historia ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini nilikuwa
Mtafiti msaidizi wa Dr. Harith Ghassany wakati anatafiti kitabu
chake maarufu, ''Kwaheri Uhuru Ukoloni Kwaheri Uhuru.''
Inaelekea hukijui kitabu hiki kutokana na jinsi ulivyotoa fikra zako
hapa Majlis na kusema unaiamini historia iliyoandikwa na Mihangwa.
Kwa taarifa yako Mihangwa anaandika makala kuhusu Zanzibar hana
kitabu alichoandika kuhusu Zanzibar.
Kuandika kitabu hili ni jambo lingine kabisa.
Hiyo mosi.
Pili nimeandika na kuzungumza kuhusu historia ya Mapinduzi na
naweza kukuwekea link hapa zikusaidie.
Tatu sina khiyana dhidi ya Yericko ila naandika kusahihisha yake
ambayo mimi naona yamekosewa na hii ni kawaida katika duru
za uandishi na duru za kisomi.
Nne nakushauri tufanya mjadala wenye adabu na ustaarabu hizi
lugha za ''povu,'' zitumie kwa watu wengine kwangu si mahali pake.
Kwa kuhitimisha nakuomba urejee tena katika post yangu na angalia
zile picha za Mzee Mkwawa na Victor Mkello.
Katika vitabu ulivyosoma vya historia ya Zanzibar umepatapo kuona
mahali popote wametajwa?
Wale na wengine sikuwaeleza ndiyo waliokuwana funguo za mapinduzi
ya Zanzibar ya mwaka wa 1964.
Hata Mihangwa hakuwa anawajua hawa.
Kwa mara ya kwanza kawasikia kwa Dr. Harith Ghassany.
yericko nyerere sijui unakumbuka ulikuja kuniuzia hicho kitabu ilala amana ofisini kwangu na nikampigia mzee Mohamed Said ukaongee nae nia yngu kubwa nilikuwa nataka uende kuongeza elimu hakika unaitaji kuivishwa zaidi na magwiji km mzee Mohamed Said sio kukalia ubishi km ndugu zetu wa lumumba jaribu kumsoma vizuri mzee wetu utamuelewa nia yke kujaribu kutaka kkujenga zaidi kijana wake lkn naona unataka kuleta ushindani sio na sababu hakika ww ni Kichochi uwezi kuingia kwenye kundi la ninga jaribu kkubari kukoselewa...
kisa huyo mfia dini mwenzako kwako hicho ndio kitabu cha kweli.kweli una tatizo sehemu.Jimmy,
Unaweza kuniita babu hapana neno jisikie huru.
Kitabu ambacho ningependa ukisome ni hicho:
https://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf
Hiki ndicho kitabu ambacho kimeandika historia ya kweli ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naendelea kushikilia msimamo wangu kuhusu yale niliyoandika mwanzo kabisa wa mjadala huu.
Wewe baba una shida zako na Yericko na wala sio makosa ya kimaudhui au kiufundi ya kitabu chake.
Yaani wewe una tatizo nae lingine kabisa.Haulali,hauogi,haundi chooni kisa kitabu cha Yericko na Yericko mwenyewe....IPO SHIDA KWAKO TENA SI NDOGO.
Ushauri wangu mwingine.
Fanya editing/hariri kitabu chote kwa kua ww ni mhariri andaa chapisho moja liweke kwenye soft copy na hard copy ili tununue tusome.
Itakua umemtendea haki yeye na wewe mwenyewe na jamii nzima ya wapenda historia.
Hii personal attack sio kitu cha maana ktk maisha yako na yake.
Jinsi unavyyojibiwa na jinsi unavyoendelea kuleta hoja zingine inaonekana moyo wako umevia,umumia,umejawa na hila kwamba kwanini sikuandika mm ninaejua kila kitu mpka aandike Yericko alieokotaokota hili na lile.
Umri wako mkubwa na utaalam ulio nao unatosha kuona kazi kubwa iliyofanywa na Yericko na kuithamini na kumtia moyo na si vinginevyo.
Aisee mwafrika mweusi na roho yake nyeusi tii!
Yericko,
Katika hayo yote uliyosema lililo la kweli moja tu kuwa mimi naipenda dini yangu Uislam kiasi nilipoona historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika imeandikwa lakini mchango wa wazalendo Waislam hawamo, nilinyanyua kalamu na kuandika kitabu kizima.
Hili kuwa wewe unanimudu mimi hapa unajitutumua hilo hawajaliweza wenye elimu kupita wewe utaliweza wewe?
Huwezi kupambana na mimi kwa kuandika "kitabu" kimoja ulichochapa mwenyewe bila "publisher."
Heheee umemwambia vema mkuu, huyu mzee ana matatizo makubwa, nahisi ana matatizo ya kiakili japo anaweza kujidhania ni mzima... Ni mwaka wa tano sasa tunajadiliana mambo haya haya kwa mwendo huuhuu wa mzee Said
Aina shida nikija December ntanunua jifunze kauli kwa wazee bado kijana unaitaji watu sna umenikela sna kwa matusi juu ya mzee Mohamed Said fanya halaka umbe radhi kwa kauli zako za kishenzi...
Mkuu ngoja niwe mkweli tu.Kwa ss nipo njee ya nchi wakt nipo hapo nmenunua kitabu toka kwake maana ni moja ya sterehe zangu kusoma ww vp unacho japo kimoja...