Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

Nikushukuru sana mzee wangu kwakunikumbusha vema,

Mohamed Said ni mmoja ya watu muhimu walionifundisha historia, nitakuwa mjinga sana nisipomshukuru na kumheshimu mzee huyu, na katika kitabu changu nimemtaja kama mmoja ya watu muhimu ambao vitabu vyao nimevirejea....

Kitabu tunachokabidhiana hapo kwenye picha ni kitabu cha majaribio tu kikiwa na sura 4 na kurasa 200 tu, lengo la kukichapa ilikuwa ni ushauri wa vyombo vya dola kuona mapokeo ya umma, baada ya mapokeo kuwa mazuri kilihaririwa upya na kuchapwa upya kikiwa na sura 6, kurasa 715, vilelezo 366, vielelezo siri 88, vielelezo huru 34, nyaraka 18 nk....

Kitabu hiki toleo la pili kimechimba historia ya mapinduzi kwa undani wake, hata yale Mzee Mohamed Said na wengine hawakuyajua yamo...

Kimechimba juu ya Abeid Karume, mauaji yake na mapito ya Zanzibar hadi leo hii.

Nje ya hapo kitabu kimebadili kabisa ngano za Mohamed Said juu ya historia ya Uhuru wa Tanganyika, Yale asiyoyapenda Mohamed yote yameletwa pamoja, hasa hasa uratibu na ushiriki wa Kanisa katoliki kupitia shirika lake la kijasusi la Jeisuti juu ya Uhuru wa Tanganyika...

Mambo haya ni mapya kwa Mohamed Said na wengine....ni lazima alipuke kwa hofu...

Mwaka 2013 tulikutana hapa jamvini katika mjadala uliochukua mwaka mzima hapa mimi nikikosoa ngano za Mzee Mohamed juu ya Uhuru akiunasibisha na uislamu wa Dar na kuwatenga waamini wengine kabisa... Nilimuonya kuwa mimi nitazifuta ngano zake na kusimama kwenye mlengo mwingine kabisa... Naam nimefanya hivyo... Leo watu wamejua nani alikuwa nyuma ya uhuru, nani alikuwa nyuma ya Julius Nyerere, nani alikuwa kiungo muhimu mpaka uhuru....

Haya ni mageni kwa Mohamed, mlipuko wake niliutaraji, hapa analipuka huku bado kabisa hata kitabu hajakisoma kabisa, ila anaona hizi dondoo tu ameanza kuja na kejeli na matusi lukuki dhidi yangu...

Kitabu kimeshapata sifa ya kitaifa na kimataifa, yeye amesema hakinunuliki, sijui anataka aje niwe namuonyesha kuwa huyu kanunua na yule kanunua....

Wataalamu na wasomi leo wanapendekeza nitunukiwe shahada mbili za uzamivu kwa kuandika kitabu kimoja tu, na wamefurahishwa sana katika historia na ujasusi.... Leo mzee wa ngano za kariakoo anakuja na matusi juu...

Katika madai ya Mzee Mohamed anasema kwamba nimenakili yaliyoandikwa, ukweli nikuwa wa wale waliobahatika kukisoma kitabu changu wataona maandishi yote yakunakili yanamarejeo na nyaraka mwishoni nyuma ya kitabu... Labda uwe mvivu na mwenye wivu uliovuka mipaka kama wa mzee Mohamed Said.

Nikushauri kama ulivyotushauri sisi kipindi kile 2013 kwamba historia yako tuipinge kwa kuandika kitabu, nawe ni wakati wakupinga kitabu cha Ujasusi wa Kidola naKiuchumi kwakuandika kitabu, nje ya hapo ni porojo tu mzee.... Na zaidi unanisaidia sana kunadi kitabu... Weekend nitakutafuta tupate sharubati na vibansi pamoja
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji15] [emoji16] [emoji15] eti ngano za kariakoooo.mkulima wa bamia mbutu naona na wewe umemlipukia kama alivyokulipukia.

Mkuu ,mtapokutana na kula hivyo vibansi,usisahau kupiga nae ka picha ka ukumbusho[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Mzee naona alighagilika hapo
Mwanadome,
Pitia kwenye post zangu zote lugha yangu ni ile ile
sijawahi kupata ''ban,'' hapa kwa ajili ya lugha mbovu.

Sina sababu ya kukasirika na kutoa matusi hili somo
mimi nalijua.

Nimetafiti na kuandika kitabu kizima sasa kipo mwaka
wa 20.

Tuko tunakwenda toleo la tatu Kiingereza na Kiswahili
toleo la nne.

Kitabu kimekuwa mashuhuri sana na lazima nikiri kuwa
JF imesaidia sana kukitangaza kitabu changu.

PbCWk_0TWkG-P29flpl9mqMIPDU2PFOnyd7ZEoFvBJJpNZwhEnA3VQb87bB3KkpJJCPzUUNSR_1fZt_Z9jEsgBdltqHXCTjGprUuZxisNvXOMfNZX_v5At_FaSq1PaUmGRbKZsPypUwtt3DIx_QTFjxno9EBQsgjscgKcWTC0xGkLrWdzgt0Lj3NCWkISe5Q0RlVFrpwW2goe0L4pp8Jh9CJHgO4orFA4K_A6bjgjh4xKrXWcZ1QhPc9aveY-5NS-adqyKPyrhruWyJw1WeKkaPVYDkA3wSXqtwWENk7DGT-wX66Shs8fQrlfuhtrV-kSylNAGbmFowHSHG-S1n67KMTZPgfXxkCNMBHgJozEWAJ51cYU7P61NtIX8Ojnd6oK0Vv4DCa-e91t1-byPN6VYxNwsUnqm__Z7ffbRaE3H_mAK4YCl86dktBGz8HYvZKKHTI3C-9Z5Cm48q7a9RRJqwYoANdN_84NEo8fuJjOgTH35E-1g4dASY_8jklkRizxp4h0F7VO3WmTAtsJ3YPvp5jdMVF0GeFu-TA6jUj1FyE1Ti8J1VCCh0aqzj5cvNyXFFNynDVc4JGdrZuRt5WJQ1pzOPZpA9pm23Xs5U=w229-h170-no

KkMurmVLb3BRsebxXx__TnHQZDkQQu-ChrwUi2b0owp0l-CFv-wCM4aVFDxPEFonhpp2MG9P2N6abUhX-Smteikz2q3xOSLvkPOgtVBKLBLJRv80ADEpXRqGC16o16EShvbWJD8nF-9dTPis7HYEqrEECCaS03hjkc5mKuiXBB29lGEX3qrLVlCCKJEHpNfJhV9MAwJGON_EcbHuco86v_ll2_nU5Tg-kWQeX7nMwH4W3zdl_XBJTJkw0pG5AC1YHtpJLlWzsM_HoqVjvL987Qux8e9rd18M1NbiKiG_tVE5Ql5Rck0H0PbFJTXRytYZNLdZPhQ27kbqlxHk_SxJcmctkdK5qmR2zj6b0NPmvt9qcXyDVN-RXdY-QDUo4vx8DtRO_ucEdEuGWiJZ6h2sFHjTFBfw9UgAQiXSkwFE7mDy-llfgu5DBV0miXS8NH7aYL_KZgSl2pPEcnxpGADi92CYPpQZIgcgRQ6hOfokS_60xe8AzTteUOpI57LPNwSMOj0WfdasYQHsTndYcXEUumvE-nO_h_4Koj897khMMU8wyEPhvjOGcCDR5Sdari3HhVHAwLAQTX7Sl27vWseudJ_aZcX02y9lQo5voiU=w231-h170-no
 
Mwanadome,
Pitia kwenye post zangu zote lugha yangu ni ile ile
sijawahi kupata ''ban,'' hapa kwa ajili ya lugha mbovu.

Sina sababu ya kukasirika na kutoa matusi hili somo
mimi nalijua.

Nimetafiti na kuandika kitabu kizima sasa kipo mwaka
cabinet.jpg

wa 20.

Tuko tunakwensa toleo la tatu Kiingereza na Kiswahili
toleo la nne.

Kitabu kimekuwa mashuhuri sana na lazima nikiri kuwa
JF imesaidia sana kukitangaza kitabu changu.

PbCWk_0TWkG-P29flpl9mqMIPDU2PFOnyd7ZEoFvBJJpNZwhEnA3VQb87bB3KkpJJCPzUUNSR_1fZt_Z9jEsgBdltqHXCTjGprUuZxisNvXOMfNZX_v5At_FaSq1PaUmGRbKZsPypUwtt3DIx_QTFjxno9EBQsgjscgKcWTC0xGkLrWdzgt0Lj3NCWkISe5Q0RlVFrpwW2goe0L4pp8Jh9CJHgO4orFA4K_A6bjgjh4xKrXWcZ1QhPc9aveY-5NS-adqyKPyrhruWyJw1WeKkaPVYDkA3wSXqtwWENk7DGT-wX66Shs8fQrlfuhtrV-kSylNAGbmFowHSHG-S1n67KMTZPgfXxkCNMBHgJozEWAJ51cYU7P61NtIX8Ojnd6oK0Vv4DCa-e91t1-byPN6VYxNwsUnqm__Z7ffbRaE3H_mAK4YCl86dktBGz8HYvZKKHTI3C-9Z5Cm48q7a9RRJqwYoANdN_84NEo8fuJjOgTH35E-1g4dASY_8jklkRizxp4h0F7VO3WmTAtsJ3YPvp5jdMVF0GeFu-TA6jUj1FyE1Ti8J1VCCh0aqzj5cvNyXFFNynDVc4JGdrZuRt5WJQ1pzOPZpA9pm23Xs5U=w229-h170-no

KkMurmVLb3BRsebxXx__TnHQZDkQQu-ChrwUi2b0owp0l-CFv-wCM4aVFDxPEFonhpp2MG9P2N6abUhX-Smteikz2q3xOSLvkPOgtVBKLBLJRv80ADEpXRqGC16o16EShvbWJD8nF-9dTPis7HYEqrEECCaS03hjkc5mKuiXBB29lGEX3qrLVlCCKJEHpNfJhV9MAwJGON_EcbHuco86v_ll2_nU5Tg-kWQeX7nMwH4W3zdl_XBJTJkw0pG5AC1YHtpJLlWzsM_HoqVjvL987Qux8e9rd18M1NbiKiG_tVE5Ql5Rck0H0PbFJTXRytYZNLdZPhQ27kbqlxHk_SxJcmctkdK5qmR2zj6b0NPmvt9qcXyDVN-RXdY-QDUo4vx8DtRO_ucEdEuGWiJZ6h2sFHjTFBfw9UgAQiXSkwFE7mDy-llfgu5DBV0miXS8NH7aYL_KZgSl2pPEcnxpGADi92CYPpQZIgcgRQ6hOfokS_60xe8AzTteUOpI57LPNwSMOj0WfdasYQHsTndYcXEUumvE-nO_h_4Koj897khMMU8wyEPhvjOGcCDR5Sdari3HhVHAwLAQTX7Sl27vWseudJ_aZcX02y9lQo5voiU=w231-h170-no
Mzee Said tunaomba utujazie majina hiyo cabinet ya kwanza ya Tanganyika
 
Ashy...
Kitabu cha Sykes niliandika kwa Kiingereza kikachapwa London 1998.

Tafsiri ya Kiswahili ikachapwa Nairobi 2002.

Sasa huyo profesa atasema nini katika hali kama hii?
 
Aisee Allah ni mwema sana na aliniongoza vema sana ktk kuchangia mjadala huu mwanzoni kabisa.

Mzee wangu Mohamed Saidi naendelea kukuona ktk jicho lile lile la mwanzoni mwa uchangiaji wangu.

Wewe mzee wetu si mtu wa kawaida...ukiletewa vielelezo unawataka review,ukiletewa review ya audio unataka ya masaa mawili ukiletewa na hiyo unataka iliyoandikwa,ukiletewa unataka isiyoandikwa na Dr Ponera.
Aisee!!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mzee Mohamed nikimuangalia naona kamani mtu anaejielewa lakini nikimkazia macho anabadilika tena, kama mzee flani mjuaji asiyekubali kwamba kapitwa maarifa na yupo tayari kuleta ubishi wa barazani au chini wa mwembe alimradi aonekane nae anajua vitu vingi zaidi ya alivyokwisha eleza hapo awali ila tu hakutaka kusema vyote.

Mzee anamwambia Yericko "USINITAJE" hahahhaa. Sasa mwandishi ataachaje kukutaja ilhali wewe ulijinasibu ni mwanazuoni na ukatoa machapisho ya somo husika kabla? Nyerere hajakutaja kwa kujipendekeza, ispokua ni kwasababu na wewe ulijitia kujua hayo masuala kabla hajaandika. Hivo ni lazima akujate iwe ni kwa kukukosoa, kukurekebisha, kukushadidia au kukukalipia.
 
Yericko,
Unanitukana ilhali mimi nakisema kile ninachoona katika uandishi wako.

Hii si haki.

Mimi sijavutiwa na uandishi wako ndiyo maana sijasoma kitabu chako.

Haya niliyosoma hapa JF yamenitosha.
Mimi ni publisher, mhariri, mtafiti, broadcaster, public speaker, mfasiri na mwandishi niaijua biashara ya vitabu na yote yanayohusiana na tasnia hii.

Kitabu kikiwa cha maana utaona haijifichi.

Sijui kama kitabu chako kimeshapata review yoyote katika gazeti sisemi kwenye academic journals.

Wala sijui kama umepata wewe mwenyewe kukizungumza popote hadharani ukiacha huu uwanja wetu wa JF ambao ni wetu sote.

Mwisho jifunze maana ya neno, "unafiki."
Mzeee kama unakili kua huja kisoma hicho kitabu sasa shida ni nini?
 
Nilishasema tangu mwanzo kwamba wewe lizee ni linafiki na zandiki kwelikweli, huna tofauti na wachawi halisi, kibaya zaidi unautusi uislamu kujifanya muislamu safi wakati matendo yako yote ni yakishetwani kabisa...

Unapata wapi kibri cha kuchambua kitabu ma kukibeza wakati hujakisoma? Na hili umekuja kukiri wazi baada ya mimi kukubana kwamba hujasoma kitabu...

Leo unakosoa nini hasa? Nini hukitaki mtu mwingine akiandike?

Sijui hata wanaokuunga mkono wanakuelewa au wanakusanifu tu?

Mbona mimi nilisoma kwanza kitabu chako ndipo nikapata uhalali wa kukisema ndani ya kitabu changu na nikaweka marejeo kwamba ni kutoka kitabu cha Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru kilichoandikwa na Dr Ghasany akisaidiani na Mohamed Said?

Unazeeka vibaya mzee.....
Nimeshangazwa sana na mzee kukili kua hajakisoma kitabu.
 
Mzee Mohamed nikimuangalia naona kamani mtu anaejielewa lakini nikimkazia macho anabadilika tena, kama mzee flani mjuaji asiyekubali kwamba kapitwa maarifa na yupo tayari kuleta ubishi wa barazani au chini wa mwembe alimradi aonekane nae anajua vitu vingi zaidi ya alivyokwisha eleza hapo awali ila tu hakutaka kusema vyote.

Mzee anamwambia Yericko "USINITAJE" hahahhaa. Sasa mwandishi ataachaje kukutaja ilhali wewe ulijinasibu ni mwanazuoni na ukatoa machapisho ya somo husika kabla? Nyerere hajakutaja kwa kujipendekeza, ispokua ni kwasababu na wewe ulijitia kujua hayo masuala kabla hajaandika. Hivo ni lazima akujate iwe ni kwa kukukosoa, kukurekebisha, kukushadidia au kukukalipia.
Heheee umemwambia vema mkuu, huyu mzee ana matatizo makubwa, nahisi ana matatizo ya kiakili japo anaweza kujidhania ni mzima... Ni mwaka wa tano sasa tunajadiliana mambo haya haya kwa mwendo huuhuu wa mzee Said
 
Hua ni mtu wa kutoka sana kwenye key. Mwaka 2016 niliangalia mahojiano yake Azam Tv siku ya Mapinduzi, mzee badala ya kuzungumzia mapinduzi...kaenda na vitu vyake kichwani anatokwa povu ovyo, mara anasema wanachama wamebeba bango la kibaguzi; haeleweki. Anakaa kwenye Tv anaongea vitu disorganized kama yupo kwenye kijiwe cha kahawa.

Tatizo anajifanya anajua vitu vingi sana kuhusu historia ya Zanzibar wakati mie namuona ni mtu mweupe, anaejuajua tu. Ye akitaja majina ya wazee wa Zanzibar bas anaona kama na yeye ni muasisi wa mapinduzi. Na udini unamsumbua, anajaribu kupropagate sana dini anayoitaka ionekane ndio imeikomboa Zanzibar na Tanganyika
 
Nilitamani kujibu pale juu ulichokiandika lkn nilijipa muda kwa kua nilijua utakuja tena.

Kwa ufupi kabisa naomba uelewe maudhui ya nilichokiandika;
1. Sijapingana na ukweli wowote ambao ww umeuelezea na majina mapya mliyovumbua wkt mnatafiti historia ya mapinduzi na iliyopelekea kutunga kitabu "Kwaheri Uhuru Kwaheri Ukoloni" cha Dr Harih.

***Ambacho ni kweli sijakisoma.

2.Sijapingana na mapungufu yoyote yaliyo kwenye kitabu chochote ambacho mchambuzi huru akiamua kukichambua na kuyabaini na kuyaorodhesha na yakasomwa...Ikiwa pamoja na uchambuzi ulioufanya ktk kitabu cha Yericko.
Tumesoma na tumeona chambuzi nyingi za vitabu..na vitabu vingi vilivyofanyiwa uchambuzi vina makosa kadhaa wa kadhaa.

Ninachopingana na wewe ni ;

1.Maandiko yako yote kuhusu kitabu hicho yanaonekana ni mashambulizi binafsi kwa Yericko kupitia kitabu alichokiandika.
Vinginevyo tungeona maandiko yako mengi mno ya chambuzi za vitabu mbalimbali vyenye mapungufu ya kiufundi na kimaudhui.

***Na kazi hii bila shaka ingekuongezea kipato sana.
Lkn unafanya kinyume chake. Unamshambulia MTU kupitia andiko lake.

2. Kwa kua ulifanya tafiti za mapinduzi ya Zanzibar na ktk tafiti kuna vitu mmegundua ambavyo wengine hawakuvigundua basi unataka kila anaeandika kitabu lzm akutafute na umsomeshe au umshikishe kalamu aandike kila kile ulichokijua wewe kupitia tafiti zenu..Na anaeandika kinyume na hapo basi ni mtu ambae hafai au hakuna anachojua.
Hii si sawa kwa kua kama kuna vitabu vimepotosha historia ya mapinduzi basi ni vile vilivyoko madarasani ktk mashule yetu.
Mbona hauvikosoi wala haukosoi waandishi? Inawezekana wamefaulu ktk ufundi ktk maudhui jee? Wahusika je?

USHAURI!

1.Watu wengi tunapenda kuandika vitabu lkn hatujapata elimu ya utunzi na uandishi bora wa vitabu inawezekana ni pamoja na huyo Yericko ..Hii ni fursa kwako baba.
Anzisha darasa hata la mtandaoni ili utusaidie na kwa kua wasomaji hawataonana na mwalimu hata huyo Yericko atakuja kusoma kuliko haya unayoyafanya ambayo kwangu mm naona kama wivu,choyo,husda na ulimbukeni wa kutaka watu wakuone ww unajua sana.
2.Kwa utafiti uloufanya na utaalam wa uandishi wa vitabu ulionao nadhani unaweza kuandika chochote kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar iwe Shairi,Tamthiliya,au Filamu kabisa...ie. Vita vya Uganda.
Hata kitabu ukaandika kwa ufundi mwingine wa kifasihi.

Nguvu hizi unazopoteza kumshambulia Yericko na kitabu chake ambacho bado kinanunuliwa na tuliosoma hatujatoka bure..

ANDIKA BABA,LETA KAZI ZAKO TUZISOME ILI TUONGEZE MAARIFA NA TAARIFA.
Unachompinga huyu Mzee ndicho unacho kifanya ww hvyo naona kinachoendelea hapa n majibizano tu ya wewe kumtetea yeriko na mzee kuendelea kupigilia msumari makosa yalipo ktk kitabu Cha yeriko,

Ushauri wangu km unataka kujua mengi kwa huyu Mzee punguza kauli zetu za vijiweni pia na masimango kwa Mzee nadhani atakuelewa
 
Yericko,
Mimi nina kitu kimoja.
Mtu akinitaja humjibu tukafanya mjadala.

Tusiwe na hasira tufanye tu mjadala wa kiungwana.

Ukikasirika ndipo utatoa lugha isiyopendeza na kama
Maalim Haruna alivyonifunza anasema ukiona mtu
kaghadhibika basi ujue ushamshinda.
Upo sahihi sheikh wngu ukweli upo wazi hayo ndio matatizo ya watt wa njee ya ndoa msamehe ila majibu tayari nimepata ndio maana vijana wenzao wa lumumba wanawaita nyumbu nafikiri wapo sahihi kwa ilo pia hichi alichokionyesha Yericko majibu nmepata tayari...
 
Weka kitabu hapa au hayo maandishi hapa km anavyofanya mzee Mohamed Said hapa...
Umesikia kitabu cha Yericko Nyerere anagawa bure? Kitabu kimetoka juzi tu unataka uwekewe hapa!!

Tusipende mteremko namna hii.
Kanunue kitabu ili mwandishi apate mavuno ya kazi yake ngumu.
 
Umesikia kitabu cha Yericko Nyerere anagawa bure? Kitabu kimetoka juzi tu unataka uwekewe hapa!!

Tusipende mteremko namna hii.
Kanunue kitabu ili mwandishi apate mavuno ya kazi yake ngumu.
Kwa ss nipo njee ya nchi wakt nipo hapo nmenunua kitabu toka kwake maana ni moja ya sterehe zangu kusoma ww vp unacho japo kimoja...
5a28b183ec5e7279d608584153522319.jpg
 
Kuondoa utata tuandikie wewe hiyo historia na sisi hatutamkosoa yericko la hasha ss tutaona kwamba umetuelimisha zaidi na zaidi maana yy yericko amejaribu ila ww kama yako itakuwa nzuri zaidi basi ww ndo tutakuita mashindi kwa kutuandikia historia nzuri ya MAPINDUZI YA ZANZIBAR kwa manufaa ya kizazi hiki na kile kijacho na sii klalamika tuu kila uchao
 
Hua ni mtu wa kutoka sana kwenye key. Mwaka 2016 niliangalia mahojiano yake Azam Tv siku ya Mapinduzi, mzee badala ya kuzungumzia mapinduzi...kaenda na vitu vyake kichwani anatokwa povu ovyo, mara anasema wanachama wamebeba bango la kibaguzi; haeleweki. Anakaa kwenye Tv anaongea vitu disorganized kama yupo kwenye kijiwe cha kahawa.

Tatizo anajifanya anajua vitu vingi sana kuhusu historia ya Zanzibar wakati mie namuona ni mtu mweupe, anaejuajua tu. Ye akitaja majina ya wazee wa Zanzibar bas anaona kama na yeye ni muasisi wa mapinduzi. Na udini unamsumbua, anajaribu kupropagate sana dini anayoitaka ionekane ndio imeikomboa Zanzibar na Tanganyika
Hilo ndio tatizo lake, Mzee Mohamed ni mwanahistoria mzuri na ninaheshimu sana uwezo wake japo yeye binafsi simheshimu sana zaidi ya kumuona mnafiki na mzandiki tu...
 
Kwa ss nipo njee ya nchi wakt nipo hapo nmenunua kitabu toka kwake maana ni moja ya sterehe zangu kusoma ww vp unacho japo kimoja...
5a28b183ec5e7279d608584153522319.jpg
Mkuu hiki ulichonunua kilikuwa majaribio tu ya soko, kitabu halisi kinakura 715.
 
Back
Top Bottom