Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

Chadema inahusika nini na mada hii? Ujinga ni mzigo sana
 
Pole mzee wangu, utaumia sana mwaka huu, kimsingi unaonyesha tu ulivyokumbatia hasira za mkizi kifuani... Na uzee huo utajiua tu mkuu...

Kitabu cha Yericko Nyerere kimetambuliwa ndani ya Library of Congress, naamini baada ya kujua hili utahamisha tena magoli kama kawaida yako, ulianza kwakusema Yericko hajui historia ya Zanzubar, ukapewa historia, ukasema kakopi, ukapewa nyaraka, ukasema kuna makosa ya uandishi katika herufu, ukaambia unachokisoma sicho kitabu, ukasema kitabu hujakisoma, ukashauriwa ukisoma, sasa umesema kitabu changu hakipo LC....


Haya nakupa link hii ukajisomee na roho yako mbaya ewe lizee.... https://catalog.loc.gov/vwebv/searc...Code=GKEY^*&searchType=0&recCount=25&sk=en_US
 
jimmy...
Maalim Faiza
ni mdogo wangu.

Mimi ni umri wa baba yako mjukuu wangu ndiyo kwanza
yuko chekechea unaweza kuniita baba badala ya babu ila
kama utapenda kuniita babu pia ni sawa.

Nimekueleza haya kukusaidia kunipima katika majadiliano.
Mzee mo nimeichelewa mada vipi niingie??
 

WanaMajlis,
Hapo chini ndiko tulikotoka:



Kwa uzoefu wangu katika vitabu nilieleza mengi kipi kifanyike ili mambo
yakae sawa.

Nilishauri kitabu kipewe ISBN na atafutwe publisher.

Ikiwa haya yamefanyika na kitabu kimekaa sawa kipo Library of Congress
hili ni jambo jema sana.

JF tupafanye mahali pa kuelimishana aliye na elimu ya kitu asiwe na choyo
awafahamishe nduguze ili tija ipatikane.

Hapana haja ya kutukanana.
 
 


hata mimi alipo toa link ckuona kitu tatzo la mdogo wetu au kamanda yericko ana jazba za kusto taka kukosolewa ,uwezi kuzaliwa na ujuzi jifunze kwa walio kuzidi na ukubali makosa kwa kukoselewa ,mwanzo amedhiirisha ukosefu wa hekma inayo mpelekea kukosa adabu ambayo haitamfikisha popote -
 
Angalia ni tarehe ya hii post:

Yericko Nyerere
November 25, 2017 via Instagram ·
Leo ninafuraha isiyokifani... Ni heshima kwangu na kwa nchi yangu kuona alama ya mswahili inasimama wima mbele ya mataifa...

Wasomi na watafiti ulimwenguni sasa watakitumia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kama rejea muhimu,
.
 

#24
Jul 17, 2017

Trophy Points: 280
WanaMajlis,
Angalieni maneno niliyoandika hapo chini na angalieni tarehe yake.

Wakudadavua,
''Huyu ndugu yangu ana mambo.

Kitabu hakina publisher, hakina ISBN hakina chochote wala huko
Amazon hakipo.

Nimempa darsa zima vipi mambo ya uchapaji wa vitabu ulivyo yeye
kabakia na jeuri na ubishi ambao haumsaidii lolote ila kuzidi kumtia
katika kundi la wachekeshaji.

Angalia hapo chini ''blarb,'' kama ilivyoandikwa na Yericko:
Angalia ''kitabu,'' cha Yericko hicho anasema
kipo Amazon na Amazon hawana hicho, ''kitabu.''


Nilimweleza haya baada ya kutambua hakuwa anajua kitu katika tasnia
ya ''publishing.''

Napenda nihitimishe ha hii hapo chini:

(Good history to start with, lakini Yericko wewe si nasikia huwa unaandika vitabu? Kama ndivyo, mbona una punctuation mbovu kiasi hiki? In addition, for your own benefit, hukutakiwa kuweka link kavu ya Amazon bali link ya hicho kitabu! Na hicho kitabu chenyewe binafsi nimeshindwa kukiona kupitia hiyo Amazon main link!)

Katika mabano ni watu wengine wanafanya comments.

Mimi nakaandika hayo maneno hapo chini:
''Bado niko na wewe Yericko. Nimekuwekea darsa zima kuhusu uandishi wa vitabu. Meza kibri chako na soma na zingatia. Umesema uko Amazon lakini ukweli ni kuwa hawakujui huko. Mimi nimeingia Amazon toka mwaka wa 1998 kwa hiyo nawajua vyema. Kuna kitu lazima ukijue pia. Amazon hujipeleki. Amazon unapelekwa na ''publishers,'' na ''booksellers'' yaani wauza vitabu. Kuna kitu kinaitwa ''blarb'' katika kitabu. Haya ni maelezo nyuma ya ''cover,'' ya kitabu. ''Blarb,'' inaandikwa na ''publisher,'' si wewe Yericko. Huu ni ushauri wa bure wenzako wanalipia fedha. Mimi nakupa bure ili ujitoe katika ujinga.''

Ndugu zangu,
Mtu mwenye hasad kwenye moyo wake hatoi ushauri wa kunufaisha.

Hayo ndiyo yangu kwa kutaka mwanamajlis mwenzetu afanikiwe katika kitabu chake lakini
ikiwa yeye anaona mimi sikutoa ushauri wowote kwake ili ''kitabu,'' kiwe
kitabu na malipo yangu ni kunitukana si kitu.

Waswahili tuna msemo, "Fanya wema uende zako usingoje shukurani."
 
Huyu Yerriko ananikumbusha sana Professor wangu mmoja ambae siku zote alikuwa anasema ukitaka kumjua mtu ambae hajaelimika basi mtizame maneno yake mbele ya watu wenye elimu utamjua tuu (hapa hutaja hizo sifa).
Na kweli sifa zote hizo imesadifu kuwa Yerriko zimemvaa au kabisa yeye.
Ila acha nikudhibitishie hata huyo aliekua anajaribu kukuvimbisha kichwa kuwa unastahiki kuwa na PhD alikuwaana kudhihaki tuu na ndio maana alitamka upewe PhD mbili hasa! Maskini wee hatahukuweza kungamua maanayake alikusudia nini!


Acha sasa nikueleze kwalugha ambayo nirahisi kuelewa maana hakuna namna inabidi uelezwe tuu! Yerriko wewe ni mwanaharamu! Kwaufupi ni mtoto wa nje ya ndoa. Na kadri unavyozidi kuandika humu kutaka kuonyesha watu jinsi gani wewe ni bingwa wa kucopy na kupest bila kuanalyse ulichokiandika ndio unazidi kudhihirisha uanaharamu wako.

Sasa kamuulize huyo alosema unapaswa kupewa PhD alikua anakusudia nini hasa, naaukiendelea hivi kuna siku utasikia wanasema upewe PhD 3 wakati hata hizo mbili utakua bado hujapewa!!
 
ushauri wangu kwa yericko nyerere achague vita vya kupigana..a wise person should always choose the battle to fight in a war
.
Nevertheless, Tanzanians remember Nyerere as a leader untainted by corruption or personal scandals, as explained by Tanzanian historian Said Mohammed. "In my research, whoever you ask will tell you, Mwalimu was special. He was incorruptible. Money and wealth did not matter to him."
 
Hii link ina mushkeli. Waweza iweka vema ili tukapata kilichokusudiwa. Yawezekana umekosea kiduchu katika kuinukuu
Your search - Library of Congress Online Catalog - No Connections Available ... - did not match any documents.
 
Umemuona eh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…