Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

Kwasisi tuliokulia kota za jeshi huwa tunacheka sana tunapoona raia wa kawaida wanavyo wakuza wanajeshi yani baadhi yao hakuna kitu kabisa.
 
Ni Jambo la heri kuona vijana wakimchangamkia mzurumati na mporaji!

Hao vijana wanastahili pongezi Sana
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Vitu vyengine ni kujishishia heshima tu! Huyo mjeda kama ye mjeda kweli ameshindwa nini kujinunulia pikipiki yake..?
Mtu analipwa Kodi zetu lakini bado wanakunyanyasa! Ni aibu mtu kama mwanajeshi kujishushia heshima kiasi hicho!
 
Siku hizi jwtz imeingiliwa na wanyoa viduku sioni tena ile nidhamu ya jeshi huku mtaani kama zamani ...
Vijana wa hovyo sasa hivi ndio wajeda
 
Vitu vyengine ni kujishishia heshima tu! Huyo mjeda kama ye mjeda kweli ameshindwa nini kujinunulia pikipiki yake..?
Mtu analipwa Kodi zetu lakini bado wanakunyanyasa! Ni aibu mtu kama mwanajeshi kujishushia heshima kiasi hicho!
Utakuta mtu kama huyo ni wale wa pombe kali na wanawake kwa sana.
 
Jambo ambalo wengi hawalijui kuna wala chips huko jwtz,watoto wa mama hata kurusha ngumi hawawezi.
 
Nilikua naingia gym fulani Kigamboni kuna jamaa nikawa natrain naye haswa squat weights zingine ameniacha mbali sana.

Nimetrain naye mwaka mzima tunapiga stori shit tunataniana nikaja kujua mwanajeshi baada ya vibaka wa feri kumkaba Navy mmoja na Navy wakaretaliate kwa kutembeza kipigo kila jioni kwa mama urasa ndiyo na yule jamaa nikamkuta yupo kwenye ndinga na wenzake.

Nikawa namuambia gym master juu ya hiyo ishu akaniuliza 'Kwa hiyo siku zote ulikua hujui kama jamaa ni navy? Jiangalie dogo utapiga tizi na majambazi'
 
Bodaboda magaidi
 
wapo wajeda social sana yani ni wana, jinsi wanavyo behave kama watu na sio cheo au kale ka wadhfa ambako mtu mwingine anatamani awe nako ili asumbue mjini kwa kuogopeka
 
Hii imekaa vizuri,nimeipenda sana,raia wameonewa sana mpaka tulianza kuonekana kama mandezi,safi sana vijana.
Kwa tukio la juzi dar,tumeishajua askari wetu hata kama wameshika silaha,ni wepesi sana,askari wawili wenye silaha,wanavamiwa na raia,wanapiga risasi,wananyanganywa silaha!!
It's a incompetence of the highest order
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…