Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wametikisa mzinga wa nyuki. Siku hizi hawaji kivurugu. Wanawaacha wametuliaa na kusahau, kumbe wanamaki mmoja baada ya mwingine. Kinachofuata sijui huwa ni kitu gani!!!Sasa hicho kijiwe kisubiri kuvamiwa na kambi nzima.
Maana hawa jamaa wanaamini wao ni miungu watu hivyo hawapaswi kupigwa, japo wwnyewe ni waonevu wakubwa.
Ila daima ujanja wao wakiwa wengi, wakifumwa mmoja mmoja wanadundwa mpaka kuvuliwa nguo.
Mkuu jichanganye siku Kwa wale wa Kaunda suti hata wale wenye vitambi then utaleta mrejesho.....Angepigika kama mbwa koko huyo...sasa hivi hatuangalii jezi au kaunda suti ni mwendo wa kuwabonyeza kizenji tu.
Mkuu kweli kabsa mm nimesoma makongo pale wakati niko form4 kuna ticha moja mjeda alileta usnge wake nilimkunja hakuamini kilichomtokea sema alikujaga nivizia baadae kama baada ya week hivi akiwa na wenzake nilichezea stiki balaa halaf ana nyota 2Kwasisi tuliokulia kota za jeshi huwa tunacheka sana tunapoona raia wa kawaida wanavyo wakuza wanajeshi yani baadhi yao hakuna kitu kabisa.
Wanaelekea kusini huko,kama mtwaraleo kuna gari za wajeda zimetoka msata kuelekea DSM bonge la msafaraaa, hakuna boda boda alothubutuu ku-overtake
majamaa yalionekana yamekunja nditaaa, ukichokoza tu unapatiwa dozi moja matata
Depo mpya utaijua tu, msalimie RSM wako mwambie nipo karibu kurudi.Inatakiwa umuogope,umtii mwanajeshi siku zote za maisha yake.wazii!
Hamza amefungua watu akili sanaWakuu nchi imekuwa ngumu hii nahisi kila mtu amevurugwa, imetokea jana asubuhi kuna jamaa anasemekana ni mjeda amepewa kichapo na vijana hao wenye hasira kali.
Chanzo ni baada ya bodaboda kumpeleka mjeda huyo kazini..inasemwa mjeda huyo alifika kijiweni juzi asubuhi na kumchukua boda mmoja ampeleke kambini ila walipokaribia mjeda huyo alihamaki na kumtaka boda amshushe kwa kuwa anaendesha hivyo hivyo hatoi hela na akiendelea kumfwata atamuitia wenzie.
Basi jana mjeda huyo alionekana maeneo ya kijiweni ndipo boda wakamuamuru alipe hela ya kusafirishwa na riba juu ndipo akagoma basi vijana wakaanza kumshambulia lakini kwa bahati nzuri polisi walikuwa doria ndipo wakawahi kumuokoa na kumtoa katika tukio haraka sana.
Vitu vyengine ni kujishishia heshima tu! Huyo mjeda kama ye mjeda kweli ameshindwa nini kujinunulia pikipiki yake..?
Mtu analipwa Kodi zetu lakini bado wanakunyanyasa! Ni aibu mtu kama mwanajeshi kujishushia heshima kiasi hicho!
Unayo yaongea hayo yana ukweli?,Siku hizi jwtz imeingiliwa na wanyoa viduku sioni tena ile nidhamu ya jeshi huku mtaani kama zamani ...
Vijana wa hovyo sasa hivi ndio wajeda
Inatakiwa usiowaogope na ujiskie na amani wanajeshi wanapokuwepo, uwaamini kuwa wapo wanakulinda wewe na nchi nzima. Unapopatwa na matatizo wakikukuta njiani wakusaidie. Hawa watu ukihaibikiwa na gari yako kwenye njia ipitayo kambini useme uegeshe gari uifanyie ufundi, omba Mungu wasikuone! Wanaeza kukutengenezea afu wakakupeleka kambini wakakwambia uendeshe mpaka iharibike tena.Inatakiwa umuogope,umtii mwanajeshi siku zote za maisha yake.wazii!
Ndio...ninawaona kila siku katika mazingira ninayokuwa kila siku...labda kama wewe ni mtoto wa 2000-.Unayo yaongea hayo yana ukweli?,
Eti mtoto wa 2000-Ndio...ninawaona kila siku katika mazingira ninayokuwa kila siku...labda kama wewe ni mtoto wa 2000-.