Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

Eti mtoto wa 2000-
Kama ni wa kitambo utakuwa shahidi majeshi yalikuwa yanaheshimika sana hata mtaani mjeda alikuwa mtu maalum sana tofauti na sasa...unakuta dogo ni mjeda amekaa kihuni huni tu, sharobaro unaweza ukabisha kama ni mwanajeshi....nasema hivi maana nashinda karibu na kambi ya jeshi huwa wanapita tunaonana nao kwa sana karibu kila siku.
 
Back
Top Bottom