Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

Any way let's wait and see number don lies....
 
Asante kwa taarifa....

Watanzania tuendelee na moyo huohuo wa kuwapa dozi hawa wajinga
 
Sasa hicho kijiwe kisubiri kuvamiwa na kambi nzima.

Maana hawa jamaa wanaamini wao ni miungu watu hivyo hawapaswi kupigwa, japo wwnyewe ni waonevu wakubwa.

Ila daima ujanja wao wakiwa wengi, wakifumwa mmoja mmoja wanadundwa mpaka kuvuliwa nguo.
Hapo wametikisa mzinga wa nyuki. Siku hizi hawaji kivurugu. Wanawaacha wametuliaa na kusahau, kumbe wanamaki mmoja baada ya mwingine. Kinachofuata sijui huwa ni kitu gani!!!
 
Kwasisi tuliokulia kota za jeshi huwa tunacheka sana tunapoona raia wa kawaida wanavyo wakuza wanajeshi yani baadhi yao hakuna kitu kabisa.
Mkuu kweli kabsa mm nimesoma makongo pale wakati niko form4 kuna ticha moja mjeda alileta usnge wake nilimkunja hakuamini kilichomtokea sema alikujaga nivizia baadae kama baada ya week hivi akiwa na wenzake nilichezea stiki balaa halaf ana nyota 2
 
leo kuna gari za wajeda zimetoka msata kuelekea DSM bonge la msafaraaa, hakuna boda boda alothubutuu ku-overtake

majamaa yalionekana yamekunja nditaaa, ukichokoza tu unapatiwa dozi moja matata
Wanaelekea kusini huko,kama mtwara
 
Hamza amefungua watu akili sana
 
JWTZ wanaogopwa sana,wanaonekanaga yaani wao wanapiga kila mtu,hawanaga kushindwa,halafu ukija kwa askari magereza wao wanadharaulika sana.Kitu ambacho baadhi ya raia hawajiulizi,ni kwanini akichokozwa askari mmoja wa JWTZ,lazima akawaite wenzake,wanadhani nini,yote hiyo ni kwamba wanaigopa wajinga wasijue udhaifu wao.Ukija kwa askari magereza,aisee kuna askari ni hatari wale magereza,we fikiria wanalinda makomandoo(kama wale wa Mbowe),maaskari polisi,uhamiaji n.k ambao wako magerezani,na wanawanudu.
 
Vitu vyengine ni kujishishia heshima tu! Huyo mjeda kama ye mjeda kweli ameshindwa nini kujinunulia pikipiki yake..?
Mtu analipwa Kodi zetu lakini bado wanakunyanyasa! Ni aibu mtu kama mwanajeshi kujishushia heshima kiasi hicho!

hizo heshima hawana mkuu, hao jamaa ni watu wa ovyo sana
 
Hivyo vichapo wangelikuwa wanapatia polisi jeuri ingependeza.....kingine, hakukua na ulazima wa kuongezewa riba, hata kama ni mimi nisingekubali
 
Inatakiwa umuogope,umtii mwanajeshi siku zote za maisha yake.wazii!
Inatakiwa usiowaogope na ujiskie na amani wanajeshi wanapokuwepo, uwaamini kuwa wapo wanakulinda wewe na nchi nzima. Unapopatwa na matatizo wakikukuta njiani wakusaidie. Hawa watu ukihaibikiwa na gari yako kwenye njia ipitayo kambini useme uegeshe gari uifanyie ufundi, omba Mungu wasikuone! Wanaeza kukutengenezea afu wakakupeleka kambini wakakwambia uendeshe mpaka iharibike tena.
 
Yaani mjeshi unapigwaje kwanza huyo nafikiri sio mjeshi yaani J w tZ apigwe na vijana mtaaani haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…