Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Status
Not open for further replies.
kama unadhani mimi siyo ni wewe kwa kushindwa kujadili hoja. jadili hoja acha uzushi wewe.

watusi mnapenda sana sifa za kijinga, endeleeni na jeuri yenu ya kuwakataa ndugu zenu wahutu na FLDR na kuendelea kuua wakongo tuone mwisho wenu na bahima empire utakuwa wapi.
 
kitanuka anytime km ndo ivo km kuna mtu ana kamguu ka bata ka ziada aniuzie jama kwa ajili ya ulinzi binafsi hali ikiwa tete....

uwanja wa mapambano hautavuka mto kagera! labda mguu wa bata wa kupambana na waliopo jirani yako.
 

wapo majirani wa kushirikiana nao lakini si watusi, waliaminiwa kidogo tu UGANDA, DRC, RWANDA kinachoendelea kinaeleweka. Tanzania kuwapa status ya ukimbizi inakuwa nongwa wanataka uraia na kuanzisha himaya ya kibaguzi ya bahima. Hawa ni zaidi ya m..e..n..d..e katika kupambana nao. hawana huruma wa kibinadamu hata kidogo!
 
watusi mnapenda sana sifa za kijinga, endeleeni na jeuri yenu ya kuwakataa ndugu zenu wahutu na FLDR na kuendelea kuua wakongo tuone mwisho wenu na bahima empire utakuwa wapi.

Umejadili ni sasa kwenye posti hii? kama huna cha kuchangia kukaa kimya ni busara pia.
 

mbwa ukishamjua jina wala hakupi tabu!
 

umeandika vyema kabisa, kama hawataki ipo siku watalazimika! na hii itawagharimu sana KIMYA KINGI MARA NYINGI HUJA NA KISHINDO
 


Kwa akili yako haya maelezo yako yana majibu ya maswali 1 na 2 hapa chini? nimemuuliza Ukwaju au diyo wewe? toa majibu sahihi basi tuendelee


By adolay



Wewe Ukwaju maliza kiporo hiki kisha tuendelee hapana kurukaruka.

1. Nini maana ya neno mbatu ilitujadili vema shutuma za wanyarwanda kwa kikwete?

2. Mkapa ni mmakonde kwa maelezo yako wapi asili ya wamakonde? tabora, mbeya Msumbiji, malawi wapi hasa?

Narudia shutuma na propaganda zako na magazeti unayoleta hapa jukwaani kuhusu asili ya mtu siyo hoja kabisa

-Obama siyo mzungu na taswira yake ipo wazi asili yake ni bara Afrika lakini ni Rais wa USA

-Tulikuwa na konderiser Rice kama obama

unawazungumziaje hawa........nakuachia upate majibu.

Narudia, jambo la msingi ni uwezo wa kuweka mazigira bora ya ushirikiano na mawasiriano mazuri na majirani ndiyo jambo la msingi sio asili ya mtu.

Leta majibu tuendelee.
 
Last edited by a moderator:
Mtikila alishasema kuhusu mamluki kutoka rwanda,na bado maana wapo wengi na mie ni kati ya hao mamluki wa kagame
 

unataka jibu gani? maswali yako ni ya kipuuzi sawa na mjinga anayefananisha mbingu na dunia. Hili ni jukwaa huru kila mtu anaruhusiwa kujibu. Kama ungetaka adolay akujibu peke yake unge pm. Za kuambiwa changanya na zako.
 
nina uhuru wa kuchangia kile ninachokiamini! Kama huelewi kaa kimya!

Tuendelee hoja......


[h=2][/h]
mokala Ukwaju, Janjaweed na wengineo wote katika mjadala huu.

Hoja nikwamba tunahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kujenga ushirikiano mzuri, bora na makini kwa majirani zetu.

Ujirani bora ni moja ya kujihakikishia usalama wa uhakika na zaidi matokeo bora ya vizazi vyetu hapo baadaye.

Sio sahihi wala hakuna tija kwetu kuwa na kiongozi anaeshindwa kuishi anachukihubiri kwa wangine, anawaasa

wanyarwanda kuketi mezani lakini yeye hawezi kutekeleza kwa vitendo anachokihubiri.

Nitatowa mifano.

1. Ameshindwa kukaa na kagame ili kurekebesha tofauti zao katika anga za kimataifa (tatizo dogo kabisa lakini ......)

2. Ameshindwa kuketi mezani na waalimu waliokuwa wakidai maslahi bora na malimbizo yao (matokeo elimu ovyoooo...)

3. Ameshindwa kuketi mezani na madakitari waliokuwa wakidai maslahi bora, vifaa tiba nk (matokeo afya ovyoooo...)

4. Ameshindwa kuketi na wanamtwara kuwapa japo matumaini ya watapata mgao gani kama walinzi shirikishi kutoka mapato ya gesi. badala yake nikupiga nakulazimisha nasio kuketi mezani...........

5. Ameshindwa kuketi na waislam (kuhusu madai mbali mbali, bakwata, Ponda, sijuwi Necta nk) anangoja waandamane awapige na mabomu......why???? kwanini usubiri watu waandamane nawewe unaamini suluhisho ni majadiliano.........

6. Ameshindwa kuketi na CDM kujadili sintofahamu mbalimbali ikiwemo mauwaji na upigwaji mabom mikutano yao.



Sasa nakuulizen@, Janjaweed na wale wenye mtazamo kama wenu.

a) Baada ya kupitia mifano hiyo hapo juu, kikwete anapata wapi ujasiri wa kuvuka mipaka mpaka Rwanda kutoa ushauri ambao yeye hawezi kuutekeleza hapa nyumbani kwa vitendo?

b) Kama tatizo ni wahamiaji haramu, niwanyarwanda tu ndiyo wahamiaji haramu?
i) walioingia tangu enzi zile wakaowa na kuzaliana wanawekwa fungu gani (DW radio jion hii ndoa na familia zimetenganiswa.......taratibu zinasemaje?)

ii) Tumeshuhudia chombo na askari wetu kuzamishwa-ziwa Tanganyika na kuuwawa, kutoka mpaka wa DRC-kikwete amechukuwa hatuagani na kwanini iwe rwanda na isiwe DRC Pia? nini kipo nyuma ya hili jambo.........

c) Ukipita mitaa ya kariakoo na hata mikowani, tunawahamiaji haramu wanaojiita wawekezaji hususani wachina wakiuza bizaa ambazo watanzania wachini ndiyo biashara zao. Je kanuni na taratibu za uwekezaji zinasemaje na nini kinaendelea

d) Je kunasababu ya lazima kikwete kutumia Kipindi kizima akizungumzia mgogoro wake na Kagame pekee akisahau majanga mengine kama, madawa ya kulevya wengi wanaangamia kwa maelf, huduma mbovu za afya na wengi wanakufa nk.

karibuni tutafakali hili pulukushani iliyopelekea sote kushuhudia tulivyo wazi na dhaifu kiasi kwamba tumeajiri wageni na kuwapa vitengo muhimu kabisa kama huyu mwanajeshi katika mada hii tunayoijadili

-Je kwa maamuzi ya kukurupuka na fukuzafukuza tutasalimika ikiwa maaduwi wametapakaa kila secta mpaka jeshini....???

-Kama nyerere angewafukuza waganda tunaitafakali vipi vita ya uganda..............................


.............................. .............................. .............................. .............................. ....................
 
Mtikila alishasema kuhusu mamluki kutoka rwanda,na bado maana wapo wengi na mie ni kati ya hao mamluki wa kagame

mbwa ukishamjua jina hakupi tabu kama na wewe ni mmoja wapo taratibu tutakukongoja tu mpaka baharini chubwi!
 
mbwa ukishamjua jina hakupi tabu kama na wewe ni mmoja wapo taratibu tutakukongoja tu mpaka baharini chubwi!

Unajadili maada gani wewe nimekwambia jadili hoja umebaki ........................kaa kimya kama hujui uchangie nini!!!!!!!!!!
 

Kumtusi kikwete na watanzania ndiyo kagame kawa kiongozi mwenye ushirikiano na mataifa ya jirani?
kuwatenga wahutu na FLDR katika siasa za Rwanda kumemfanya kagame awe kiongozi bora?
kuvamia nchi jirani DRC, kufanya mauji ya raia wasiokuwa na hatia na kupora maliasili ya DRC ndiyo utawala bora wa kagame?
Kikwete kuitikia wito wa SADC na UN kupeleka kikosi cha kuwalinda raia wa DRC wanaohujumiwa na magenge ya kihuni ya liyoundwa na kagame ndiyo kuwa kiongozi asiyependa ushirikiano?
kushauri mataifa yenye vikundi vya waasi wakaa meza moja na kutafuta suluhu kwa manufaa ya amani ya nchi hizo ndiyo raisi kikwete kuwa kiongozi asyependa ushirikiano?
Kagame kuunda magenge ya kihuni kuhujumu nchi jirani kwako ndiyon unaona ni kiongozi anayependaushirikiano?
majeshi ya kagame na M7 bila aibu kupigana DRC wakigombania maliasili ya kongo kwako ndiyo kupenda ushirikiano na nchi jirani?

UNA MATATIZO MAKUBWA KAMA WALIVYO WATUSI WENZAKO, IPO SIKU MUNGU ATASEMA BASI YATOSHA, KING SALAZAR WA URENO HAKUAMINI KAMA ANGEKAA AYAPOTEZE MAKOLONI YAKE YA MSUMBIJI NA ANGOLA LAKINI ALICHAPA MWENDO, SEMBUSE WANYARWANDA! MTAIACHA AFRIKA MASHARIKI!
 
Unajadili maada gani wewe nimekwambia jadili hoja umebaki ........................kaa kimya kama hujui uchangie nini!!!!!!!!!!

uwelewa wako ni mdogo sana, nimemaanisha watusi ni sawasawa na mbwa tu, na mbwa ukishamjulia jina hakusumbui unampelekesha unavyotaka wewe, sasa tumeshawafahamu nyie ni tofauti na majirani wengine wote! MLIWAOTEA WAGANDA NA WAKONGO KWA SABABU HAWAKUWAFAHAMU VIZURI, SASA KWA TANZANIA HII NI NAMBA INGINE, MMEINGIA CHOO CHA KIKE!
 


yaani uwezo wako wote umeishia hapa? amakweli pamoja na kukata kakipande tu, bado hakuna kinachofanana pitia

ulichokata hapa chini ulinganishe na maelezo yako hapo juu.......................aibu ......



mokala Ukwaju, Janjaweed na wengineo wote katika mjadala huu.

Hoja nikwamba tunahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kujenga ushirikiano mzuri, bora na makini kwa majirani zetu.

Ujirani bora ni moja ya kujihakikishia usalama wa uhakika na zaidi matokeo bora ya vizazi vyetu hapo baadaye.

Sio sahihi wala hakuna tija kwetu kuwa na kiongozi anaeshindwa kuishi anachukihubiri kwa wangine, anawaasa

wanyarwanda kuketi mezani lakini yeye hawezi kutekeleza kwa vitendo anachokihubiri.
 
unajadili maada gani wewe nimekwambia jadili hoja umebaki ........................kaa kimya kama hujui uchangie nini!!!!!!!!!!

pole sana, mtaishia kunawa hamna cha bahima wala mama yake bahima empire. Wanafiki na wabaguzi wakubwa.
 

uwezo wako mdogo sana, si shangai tena kwa nini mlichinjana 1994 kwa sababu aza kikabila!
 

1. Gadaf aliposhindwa kule Libya aliwaita watu wake panya

2. Wewe umeshindwa hoja umeishia kuwaita wanadam wenzio mbwa

1 & 2 hapo juu hayanatofauti ni tabia za watu walioshindwa kwa hoja kubaki kutukana wakikosa waseme nini.

rudi kwenye mada jadili kwa hoja.......................
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…