Time Bandit
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 615
- 321
Haishangazi. Nchi hii chochote ukitakacho unaweza kukipata any time hususan huko kwenye siri nzito ndio kweupeeeeeeeeee!
Inteligensia iko busy na chadema tuuu....ya muhimu hawayaoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haishangazi. Nchi hii chochote ukitakacho unaweza kukipata any time hususan huko kwenye siri nzito ndio kweupeeeeeeeeee!
kumbe ukweli unautambua vizuri, sasa ndiyo maana tunawachapisha mwendo, hatuambiwi ! Mende ni lazima atokomezwe ndani na nje ya mupaka ya tanzania.
Tatizo lenu ni ujinga wa kuchambuwa na kuchanganua mambo.
Daima ukweli unauma na hampendi kuambiwa ukweli.
Kama jeshi limeweza kumpa kitengo nyeti mnyarwanda, nini kinakuzuia kuhisi kwamba uwezekano wa maadui
kuwepo Ikulu ni mkubwa nakwamba tahadhari ya ziada inahitajika sio kukurupuka tu na maamuzi ya visasi?
Mtaendelea kuwa wapumbavu kwasababu ya upenzi wa kisiasa huku mkiukana ukweli kwa unafiki na ujuha.
Haya za asubuhi mkuu naona hata Janjaweed umemjibu jibu la ku-copy na paste km languMkuu tafuta daktari wa mambo ya AKILI, unaumwa.... unachanganya sana mada, hiyo si hali ya kawaida... UNAUMWA NA TUNAOKUPENDA TUNAKUSHAURI NENDA KWA DAKTARI WA MATATIZO YA AKILI
Haya za asubuhi mkuu naona hata Janjaweed umemjibu jibu la ku-copy na paste km langu
Sisi sote na wewe hatuko kisiasa katika hili, ni kweli watu hawa wapo mpaka Ikulu na JWTZ kweli kaonekana tupe mbinu basi maana kumlaumu kiongozi wa nchi hawezi kuwafahamu wote tuwe na Ulinzi shirikishi km kweli twaipenda TZ
Hizi Documentary za P. Kagame kuchukua madaraka kwa kusaidiwa na vibaraka wake wa USA zinapigwa vita hasa na huyu SlimBoy ana nguvu ya ajabu kwani alimuingilia Imran Kombe na prof Mwaikusa na kuwamaliza kwani walikuwa wanaijua na walitaka afikishwe The Hague na sio Arusha
sasa Mtikila naye maskini baada ya kuandama tu simsikii
Humuhumu kuna thread PK ametulaumu member wa JF kumjadili kupitia post za Mchungaji Mtikila
Iko siku MUNGU atasikia kilio cha Wanyarwanda kwani humu JF wamejaa na wanavitisho hata kupitia PM Box watakumiminia ukiwa muoga na unaweza kukuta wamefika mlangoni lakini kwa vile tumeamua waacheni waondoke
[QOUTE=]Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s.
He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate!
It should be recalled that Mtikila used Jamii Forum and wavuti to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go.
Mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!
----------
Mtikila's allegations - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-tanzania.html
hapo ndipo uwezo wa akili yako unapogota, hata muamar gadhaf wa libya aliwaita raia wake panya bila kufaham wale ni
wanadamu, wewe unawaita wanyarwanda mende kama huo ndiyo ukweli hapo namashaka makuu.
Ingawa Mtikila mara nyingine anaonekana kama mlopokaji lakini kamwe sio wa kumpuuza.Mtikila alishasema Kagame ana "wanajeshi wake kwenye JWTZ", watu wakampuuza, sasa huu ni mfano mmoja wapo tu....
Si kila askari wa Jw anajua kila kitu kuhusu siri za jeshi. Hata usaalama wa Taifa si kila afisa anajua kila kitu. Utajua tu yale yaliyopo kwenye idara au kikosi chako. Hata kama alikuwa IT kuna kitu kinaitwa clearance levels ambazo ni levels za ku access data.Unaweza ukawepo hapo IT lakini usiweze kuona baadhi ya data. Na kwa taarifa tu kuna watu wa usalama wa Taifa kwenye kila kambi za majeshi yetu. Huyo askari kajisumbua tu kukimbia!
Haya za asubuhi mkuu naona hata Janjaweed umemjibu jibu la ku-copy na paste km langu
Sisi sote na wewe hatuko kisiasa katika hili, ni kweli watu hawa wapo mpaka Ikulu na JWTZ kweli kaonekana tupe mbinu basi maana kumlaumu kiongozi wa nchi hawezi kuwafahamu wote tuwe na Ulinzi shirikishi km kweli twaipenda TZ
Nawe mkimbizi?
Kwa mujibu ya gazeti la mtanzania alikuwa department ya IT jeshin, na alikuwa ni ofisa wa rank ya luten kanali..so ni mtu mkubwa na kama alikuwa mole wa Rwanda manake ametuma information nyingi na nyeti sana.
Anaweza kuwa na access ya database ya JWTZ na kujua idadi ya askari na silaha, pia deployment ya makambi na strength za kila kajbi. Pia anauwezo wa kujua strategic areas katika jeshi. Ni kitengo sensitive sana. Department ya IT ni kama moyo wa jeshi manake kila kitu kinakuwa pale kwenye database.
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...-anaweza-kuwa-na-asili-ya-gitega-burundi.htmlKiongozi wa Taifa kubwa kama Tanzania lenye watu wengi kutoka mipaka yake yote ambao wameenea sehemu na vitengo mbali mbali na vingine ni nyeti kabisa hatakiwi kufanya maamuzi ya visasi, jaziba na kukurupuka.
1. Maamuzi yoyote lazima yazingatie haki za msingi kwa watu wote bila manyanyaso, kupuuzwa wala kutenganishwa.
-ni hasiragani unazijenga kutenganisha watoto na familia zao? baba na mama, wajukuu na babu na bibi zao
-Ni hasiragani unazijenga unapotaifisha mali za watu, uporaji na udhalilishaji
katika hili tunajenga uhasama na majirani zetu bila sababu za msingi na kuanzisha ufa wa uadui wa kudumu kama ilivyo
Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM
Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too' na kuandika kile linachodai kuwa
Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Burundi.
Kwa mujibu wa wazee wa Burundi waliohojiwa na mtandao huo, umedai
Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Giteka, Burundi.
kila nchi inamfumo makini wa kupata taarifa za siri za nchi jirani.huyu kakimbia baada yakushitukiwa.unachofurahia na kuona kama ushujaa kwa Wanyarwanda eti ni kitendo cha mnyarwanda kuwa kwenye jeshi la TZ. hata hivyo usidhani Tanzania iko nyuma sana hata Tanzania ina wanajeshi na maofisa usalama wengi kwenye jeshi la Rwanda na usalama wa RWANDA.Tatizo lenu ni ujinga wa kuchambuwa na kuchanganua mambo.
Daima ukweli unauma na hampendi kuambiwa ukweli.
Kama jeshi limeweza kumpa kitengo nyeti mnyarwanda, nini kinakuzuia kuhisi kwamba uwezekano wa maadui
kuwepo Ikulu ni mkubwa nakwamba tahadhari ya ziada inahitajika sio kukurupuka tu na maamuzi ya visasi?
Mtaendelea kuwa wapumbavu kwasababu ya upenzi wa kisiasa huku mkiukana ukweli kwa unafiki na ujuha.
Hivi wewe na umburula wako unamuona luteni kanali afisa MDOGO??? USIWADANGANYE WENZAKO WAKAAMINI HAKUNA THREAT, MAMBO HAYA KAMA HAMJUI MNAPASWA KUKAA KIMYA KULIKO KUPOTOSHA WENGINE, JUST TALK OF THE LEVEL THE LEUTENANT CANAL HAS ACHIEVED.LUTENI KANALI LEVEL YAKE NI KUSIMAMIA KIKOSI NI MDOGO HUYO???
Hivi nyie mnashangaa nini..hapa tunavyobishana na kina koba,murutongore,ruzibiza,adolay et al...c ndio hao waliozaliwa huku wanakijua kiswahili fika ndo maana mm naishauri serikali yetu hivyo vitambulisho vya taifa viwe scrutinise very deep indeed...hivi vikagame viko vingi sana kwa kutumia title ya kabila jengine..yaani huyu fido dido kumtukana mh. rais wetu ametufanya tujiangalie sana na hii fukuza fukuza isiishie huko kigoma,kagera na geita ije hadi mijini na kwenye taasisi za serikali tuwakimbize hawa mamluki wote....yaani hao sio watu kabisa mie nawajua in and out..atakuchekea as if ni rafiki but huku nyuma anakumaliza mbaya sana...fukuza wote kwenye hii operation.