https://www.jamiiforums.com/jamii-i...-anaweza-kuwa-na-asili-ya-gitega-burundi.html
Magazeti ya Rwanda hayalalamiki km wewe na hayatetei uhayawani kuwa Rais Jakaya Kikwete anahusika mpaka na kazi za uporaji, uporaji hata wa wanaorudi Rwanda?
-ni hasiragani unazijenga kutenganisha watoto na familia zao? baba na mama, wajukuu na babu na bibi zao
-Ni hasiragani unazijenga unapotaifisha mali za watu, uporaji na udhalilishaji
usiwe mbishi ndugu yangu tuache Siasa hapa, kuwa Mlinzi shirikishi hawa Watutsi watimuliwe, awepo JK au Rais mwingine yeyote hili Kabila ni tatizo sio sawa na Binadamu wa kawaida leo mnajikosha
NEWS OF RWANDA WAANDIKA KUWA RAIS JAKAYA KIKWETE ANAWEZA KUWA NA ASILI YA GITEGA BURUNDI.... - GUMZO LA JIJI
Historical discourse shows that most Tanzanians are from other neighbouring countries. The Ngoni people came from Zulu land in South Africa; Yao used to belong to Mwanamtapa Kingdom; Arabs of Unguja and Pemba Irelands in Zanzibar came from Oman during the rule of Sultan Sayid Said.
Chaga, Maasai and Meru people of Northern Tanzania are traced in Kenya; Hangaza people from Burundi; Haya people from Uganda; Waha (Ha people) arrived in from Zaire and Burundi; the Makonde people (tribe of former Tanzania President Benjamin William Mkapa) came from Mozambique; Nyasa People relocated from Malawi; almost all Mara region dwellers came from Kenya and the list can cover about 80percent of all Tanzanians.
The Singida and some Arusha people like Warangi, Wasandawe, Wabaebaig, Wairaq and Hadzabe are not Bantus, but Semi Nilotic who found themselves in that country after immigration for survival.
kwani hilo haliwezekani? kwani mkapa ni kabila gani na asili yake ni wapi? wewe zinakutosha kweli
Chochote kinawezakuwa kweli, tunachoangalia hapa nivipi tunajenga mazingira bora ya ushirikiano na majirani zetu.
Katika mazingira bora na yahaki kwa wanadamu wenzetu, hatari ya visasi hupungua kabisa aghalabu kotoweka na
hivyo kujihakikishia usalama wakutosha kwa watoto na ndugu, jamaa na marafiki zetu zaid kujimaarisha kwa Tanzania
bora ya baadaye.
