Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh hatari mzeeeMzuka wanajamvi!
Tungekuwa na bidii ya kuiga hivi kwenye Kilimo, ufugaji na uvuvi tungekuwa mbal. Hivyo vitu vitatu viko chini ya uwezo wetu kabisa kututoa kiuchumi.
Mbwembwe tu utakuta wanaangalia sana movie za HollywoodWameiga kwa nani ?
Mwisho wa siku alitwaliwa kimasihara kabisa.Wana miili kama ya wale walinzi wa mwenda zake
Kama ni mbwembwe nenda ukamshike mmoja kalio kama hujaenda mbinguni bila figoMbwembwe tu utakuta wanaangalia sana movie za Hollywood
Iga ufe
Duh hatari.Kama ni mbwembwe nenda ukamshike mmoja kalio kama hujaenda mbinguni bila figo
Kuna tukio flani lilotokea kwa askari wa gereza la butimba kuna jamaa alikuja kumuokoa mwenzao yani kama movie hao jamaa hawakufua dafu na alikua mmoja tu sema aligongwa na gari ndiyo wakafanikiwa kumdhibitiHao jamaa ni noma. Ogopa sana mtu aliyekula kozi ya ku handle terrorist.
Nakuambia na uelewe kuwa mafunzo ya Magereza si lelemama.
Kuna wengine wamekwenda ng'ambo kujinoa kukuhandle wewe pindi utakapoingia kwenye 18 zao.
Mkuu dunia ya leo haihitaji guerilla warEt mbwembwe looh[emoji849] unajua vikosi hivyo mafunzo yao yakoje? au unafurahisha genge! Ingia anga zake ndio utajua ni mbwembwe au kavaa kikazi