Askari Magereza Tanzania wamezidi kuiga

Askari Magereza Tanzania wamezidi kuiga

Katika vikosi ambavyo vina mafunzo hatari,ya siraha na martial art,close combat,ni hawa jamaa,wanapiga hatari!
Kuna jamaa mmoja mcheza karate hatari pande za Dar,alimtoboa macho Raia,buguruni nzima alikuwa anaogopwa,alipofungwa,aliperekwa segerea akawa kiburi,akaperekwa Isanga Dodoma,yaliyomkuta huko,leo hii amekuwa kama zezeta,mraiiini kama mrenda.
Hawa jamaa,hata Vijana jeuri wa Mabakamabaka huwa wanajishauri kwanza kabla hawajalianzisha tifu na hawa wajomba.
 
Jamaa wako vizuri hao ukingia kwenye 18 zao lazima ujute😂😂

Ova
 
Kuna tukio flani lilotokea kwa askari wa gereza la butimba kuna jamaa alikuja kumuokoa mwenzao yani kama movie hao jamaa hawakufua dafu na alikua mmoja tu sema aligongwa na gari ndiyo wakafanikiwa kumdhibiti
Butimba hakuna KMKM, Askari magereza wengi wenye mafunzo ya awali japo wana wahalifu wengi wa ugaidi.
 
Hao jamaa ukiingia kwenye 18 yao ndiyo utawa fahamu [emoji23][emoji23]

Ova

Hao jamaa wa magereza watu wanawachukulia poa wanakikosi chao maalumu ni hatari kuliko kawaida yaani hata ffu wakasome na wanajua kupiga ngumi sijawahi kuona, kuna jamaa aliwaletea ufyetele aligongwa kelebu moja akakojoa na kujamba hapohapo
 
Hao jamaa wa magereza watu wanawachukulia poa wanakikosi chao maalumu ni hatari kuliko kawaida yaani hata ffu wakasome na wanajua kupiga ngumi sijawahi kuona, kuna jamaa aliwaletea ufyetele aligongwa kelebu moja akakojoa na kujamba hapohapo
Wako fiti sana

Ova
 
Hao jamaa ni noma. Ogopa sana mtu aliyekula kozi ya ku handle terrorist.
Nakuambia na uelewe kuwa mafunzo ya Magereza si lelemama.
Kuna wengine wamekwenda ng'ambo kujinoa kukuhandle wewe pindi utakapoingia kwenye 18 zao.
Magereza hata uwe Mwakinyo ukishafungwa, magereza kama Barnaba anakupelekesha tu na huna cha kumfanya
 
Back
Top Bottom