jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mafunzo magumu ni ya Jwtz, Magereza, polis, uhamiaji mafunzo yao mepesi ikifika saa nne usiku wanaenda kulala kwenye mabwen, wao mafunzo Yao hawa keshi kama JwtzHao jamaa ni noma. Ogopa sana mtu aliyekula kozi ya ku handle terrorist.
Nakuambia na uelewe kuwa mafunzo ya Magereza si lelemama.
Kuna wengine wamekwenda ng'ambo kujinoa kukuhandle wewe pindi utakapoingia kwenye 18 zao.
Sent using Jamii Forums mobile app