Askari Magereza Tanzania wamezidi kuiga

Askari Magereza Tanzania wamezidi kuiga

washamba sana hawa jamaa, mimi huwa nawafananisha na wafungwa tu. wanajifanya wakakamavuuu kwa nani? kwa wafungwa? what do they want to prove to us, kwamba na wao askari? au raia wakakamavu tu. wana masifa utafikiri wapo kwenye uwanja wa vita, kumbe hata walichosomea ni kulinda wafungwa ambao wapo ndani. hawa jamaa bora hata askari polisi wanaweza kidogo kujiitwa askari.
 
Back
Top Bottom