Askari Magereza Tanzania wamezidi kuiga

Mzuka wanajamvi!

Tungekuwa na bidii ya kuiga hivi kwenye Kilimo, ufugaji na uvuvi tungekuwa mbal. Hivyo vitu vitatu viko chini ya uwezo wetu kabisa kututoa kiuchumi.
Duuuh hatari mzeee
 
Hao jamaa ni noma. Ogopa sana mtu aliyekula kozi ya ku handle terrorist.
Nakuambia na uelewe kuwa mafunzo ya Magereza si lelemama.
Kuna wengine wamekwenda ng'ambo kujinoa kukuhandle wewe pindi utakapoingia kwenye 18 zao.
Kuna tukio flani lilotokea kwa askari wa gereza la butimba kuna jamaa alikuja kumuokoa mwenzao yani kama movie hao jamaa hawakufua dafu na alikua mmoja tu sema aligongwa na gari ndiyo wakafanikiwa kumdhibiti
 
Et mbwembwe looh🙄 unajua vikosi hivyo mafunzo yao yakoje? au unafurahisha genge! Ingia anga zake ndio utajua ni mbwembwe au kavaa kikazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…