Askari Magereza Tanzania wamezidi kuiga

Hao jamaa ni noma. Ogopa sana mtu aliyekula kozi ya ku handle terrorist.
Nakuambia na uelewe kuwa mafunzo ya Magereza si lelemama.
Kuna wengine wamekwenda ng'ambo kujinoa kukuhandle wewe pindi utakapoingia kwenye 18 zao.
Mafunzo magumu ni ya Jwtz, Magereza, polis, uhamiaji mafunzo yao mepesi ikifika saa nne usiku wanaenda kulala kwenye mabwen, wao mafunzo Yao hawa keshi kama Jwtz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafunzo magumu ni ya Jwtz, Magereza, polis, uhamiaji mafunzo yao mepesi ikifika saa nne usiku wanaenda kulala kwenye mabwen, wao mafunzo Yao hawa keshi kama Jwtz

Sent using Jamii Forums mobile app
Utofauti nadhani ni six weeks tu.
Magereza wanaongoza kwenye mabio jwtz kwenye mikesha.
Ile mikesha haina faida zaidi ya kuharibu akili na kukuondolea woga 100%.
Nimekesha tena si six weeks ni 8 weeks, wengi sana walidata.
Sema jeshi ni wachawi. Mtaani ukikesha week moja tu unakufa
 
Kuna mtu hapa anasema "tatizo unapigwa alafu hauruhusiwi kurudisha, kaendelea kusema kama wapo vizuri waingie kwenye mchezo wa ndondi na kick box walipaishe taifa kimataifa."

Wakuu nipeni jibu lakumpa hapa anasubiri mrejesho [emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba wachawi....uchawi ni chenja tu
 
Wale jamaa ni wachawi sana.
Na huwapa dawa za kiuchawi Askari wakienda mission. Mnawekewa kwenye misosi au kwenye...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....kuna kaukweli lakini [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yule jamaa alikuwa mtata kumbe hadi magereza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila wakamlainisha
 
Waulize wakina halima mdee kipindi kile walionja kipigo cha KM ,komzi ni zaidi ya nyundo

sent from HUAWEI
Konzi kama nyundo mammae πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… halafu unategemea mjuba niandamane πŸ˜… wacha tulipe tozo tu!
 
Kwani "PGO" yao inasemaje?
 
Hapo waliposimama Wana tofauti gani na Hamza kwani au ndo kwenye ngumi tu
 
Alikua anaitwa scorpion πŸ¦‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…