Mnashindana kwa roho mbaya na ukatili ili kumpita yule jiwe kuu la magogoniI wish i could be ofisa magereza, kuna mtu angekatwa kiuno, maana hawa nyumbu hawishagi matusi, na mara nyingi wanafanyaga kwa masifa waonekane kua makamanda na hawaogopi, ndio maana walivtoka gerezan walikua wanajigamba wamekiwasha na wanaogopeka, SIFA ZA KIJINGA, sasa dawa yao ni kuwavunja meno na viuno ili kila wakiona majeraha watambue walikosa kutafuta misifa mbele ya askari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga ni yule anayeshabikia ujinga, wabunge wazima wafanye upuuzi huo halafu mnawashabikia hovyo sanaHuyo askari magereza amestaafu na ujinga wake.
Duh.......!Hakuna kesi ya msingi hapa.huu ni mwendelezo wa kuuminya upinzani na manyanyaso dhidi ya demokrasia na Uhuru wa nchi hii. Freedom is coming.interahamwe wa CCM mjiandae qumamaeee zenu
Nimeomba vifungu. Hujanioa.Kiranga, WAKATI HIVYO VIFUNGU VINAPOKUWA VINATAFUTWA WAHUSIKA WATAKUWA WAMELAZWA HOSPITAL WAKIWA VILEMA NA UKISHA KUWA KILEMA WEWE SI YULE TENA YAKIPITA MAWINGU TU UNAGUGUMIA
Mzuka manake Nini jomba..Sasa kila mtu akileta mzuka wake hivi tutakuwa na amani kweli..amani itavunjika..sijui tutamlaumu Nani, au tutawageukia Askari kuwalaumu kwamba hawatimizi majukumu yao ..hehehehe..wacha sheria ichukue mkondo wake na Tena nashauri wachuliwe hatua Kali Sana ili iwe fundisho kwa wengine haya yasije kutokea tenaWasamehewe tu bwashee hii ni mizuka ya kisiasa!
Hoja iko wapi hapo?Ndio maana mnavunjwa mikono...umeshindwa kujibu hoja unaleta matusi ukipapaswa kidogo mnataka waTZ tuwaonee huruma!!!
Typed Using KIDOLE
Fucktard imbecile.Duh.. Kumbe ukitekenywa unalowana kabisa tayari kwa kuwekwa kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni part ya Waandishi habari askari hawakututaka sisi un fact waliwafata kina Halima tuInamaana wewe hukupata kirungu hata Cha ugoko Mkuu maana kwa maelezo haya Kama ulikuwepo kabisa..
Typed Using KIDOLE
Chama gani? Unaweza kuthibitisha kwamba ni chama changu mnafiki wahed wewe?Umetekeleza sera kuu ya chama chenu ya matusi. Asante kwa kutekeleza sera yenu kwa uadilifu.
Nikikujibu kwa kukutukana ni sawa na kumfukuza kichaa aliyekukuta ukioga akachukua nguo zako na kukimbia nazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
johnthebaptist ,
..mimi naamini umati uliokwenda kumchukua Mh.Mbowe ulikuwa umati wenye FURAHA.
..sidhani kama walikwenda Magereza kuleta shari, kumpiga mtu, au kuharibu mali.
..that was a happy and jubilant crowd.
..huenda askari wetu wametumwa, au wana CHUKI fulani dhidi ya CDM.
..haiwezekani CDM wawe ktk hali ya FURAHA halafu atokee askari aanze kuwapiga karibia kuwauwa.
Hivi unajua kesi za aina ya matumizi ya silaha ni kwamba iwe bunduki,shoka,kisu, kiwembe, nondo, bomu zipo kapu mojaWalivamia gereza la segerea kwa mabomu na siraha kali za kivita ndio maana wakadhibitiwa.. [emoji23][emoji23]Policcm buana ni shida
Halafu hapo hapo utasikia wastaafu wanalalamika hawajalipwa mafao yao!
Kama hawajui kwamba hii roho mbaya ya kujiona wao treni na wengine magari ndiyo inawatafuna waogelee kwenye umasikini maisha yote.
Na uhuru wa kisiasa ni moja ya mambo yatakayochangia ujinga huo kuisha.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Ni sawa tuSio kila mzee ana busara,hata wapumbav huzeeka!
Yaani huyo askari anachosema haijalishi matokeo ni nini,hata kama hao jamaa wangeamua kuwapiga risasi na kuwaua wote waliokuwepo pale,ni sawa tu!
Kama wewe ulivyojiunga na ujinga wako Jamiifrorum na kuendeleza ujinga wako kwenye kuchangia hoja!Huyo askari magereza amestaafu na ujinga wake.
Huyo askari magereza amestaafu na ujinga wake.
Pole na kujifungua bibieKina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
Wewe ndio mjinga, jifunze kusikiliza na kufuatilia mambo si kubwabwaja tu kisa umepewa mdomo wa kubwatukaHii tabia ya kupenda kukandamizana ni moja ya sababu kubwa hatuendelei.
Na mkiendelea kusifia ujinga hivi mtakuwa masikini wajinga daima.
Sent from my typewriter using Tapatalk