Askari mwingine David Dorn, auliwa USA!

Askari mwingine David Dorn, auliwa USA!

Wameshaanza kumbe!! Na hizo serikali zikiwaingilia yanageuka kuwa violence!!
Acha wavune walichopanda mzee baba, maana wao ni mabingwa wa ku support maandamano huko hong kong na nchi nyinginezo duniani wakisema ni haki ya wananchi kuandamana.

Nasi tunasema waandamane mpaka ikulu ya Marekani na wakiweza wamkamate mpaka Trump na wamvue lile wigi .
 
Upuuzi mtupu,wanajua wanafanya hayo mavurugu yote mpk kwenda ikulu kuzingua sababu wanajua nchi yao mambo ya rule of law yanazingatiwa na hakuna kitu police watawafanya.

Waambie waafrica walioko lockdown huku Africa nao wajifanye wamedata na kuanza kuvamia maduka ya watu,kusogelea ikulu uone watakavyokufa kwa kichapo kama kuku vile mpk vifaru vitawapitia juu.
Wazungu ni wajinga. Ukiwauliza wanaandamana sababu ya nini wako kimya
Wazungu sio vichaa ila hio ndio demokrasia ya maandamano wanayoililiaga kwny nchi mbalimbali duniani.
na sasa ni muda wa kujionea jinsi demokrasia hio inavyozidi kunawiri.
 
Upuuzi mtupu,wanajua wanafanya hayo mavurugu yote mpk kwenda ikulu kuzingua sababu wanajua nchi yao mambo ya rule of law yanazingatiwa na hakuna kitu police watawafanya.

Waambie waafrica walioko lockdown huku Africa nao wajifanye wamedata na kuanza kuvamia maduka ya watu,kusogelea ikulu uone watakavyokufa kwa kichapo kama kuku vile mpk vifaru vitawapitia juu.
Mkuu mtawala wa kiafrika ukitaka kujua ndIo babake na ibilisi, tishia mustakabari wa madaraka yake, mtachinjwa Kama kuku wa harusini
 
Kama huna kazi,
huna hela,
Huna chakula,
alafu umepigwa lockdown....
lazima uwe looter ili usurvive....
madhara ya lockdown...
ni makubwa kuliko corona
single touch double manifestation
watu wengi hawakumuelewa Jiwe
Usifananishe Marekani na Tanzania utakuwa mbumbumbu wa hali ya juu, lockdowm ya US wananchi wote walikuwa wanahudumiwa chakula na serikali, hao vibaka wanaopora hawana njaa Kama vibaka wa Manzese, Marekani siyo mbinguni ni Duniani kwa hiyo wahuni wapo tu
 
Mkuu mtawala wa kiafrika ukitaka kujua ndo babake na ibilisi, tishia mthitakabari wa madaraka yake, mtachinjwa Kama kuku wa harusini
Acha kabisa mkuu, kwenye hilo suala watawala hua hawana utani nadhani hii roho hata wachina wanayo maana mwaka 1989 wachina walikanyaga waandamanaji kwa vifaru kabisa.
 
Acha wavune walichopanda mzee baba,maana wao ni mabingwa wa ku support maandamano huko hong kong na nchi nyinginezo duniani wakisema ni haki ya wananchi kuandamana.

Nasi tunasema waandamane mpk ikulu ya Marekani na wakiweza wamkamate mpk trump na wamvue lile wigi .
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
usifananishe Marekani na Tanzania utakuwa mbumbumbu wa hali ya juu , lockdowm ya US wananchi wote walikuwa wanahudumiwa chakula na serikali, hao vibaka wanaopora hawana njaa Kama vibaka wa manzese, Marekani siyo mbinguni ni Duniani kwa hiyo wahuni wapo tu
Hujui mental agony anayopata jobless anayeishi kwenye nchi za kibepari ni tofauti na mtu anayeishi nchi zilizokuwa na mfumo wa kijamaa/ halfway
mifumo ya kibepari usipifanya kazi unakufa huku unaona.....
Hapa bongo mtu maisha yakimbana mjini anarudi shambani analima maisha yanaendelea ardhi ipo....
huko Marekani usipokuwa na kazi, elimu
utaishi kama chokoraa.....
 
usifananishe Marekani na Tanzania utakuwa mbumbumbu wa hali ya juu , lockdowm ya US wananchi wote walikuwa wanahudumiwa chakula na serikali, hao vibaka wanaopora hawana njaa Kama vibaka wa manzese, Marekani siyo mbinguni ni Duniani kwa hiyo wahuni wapo tu
Huwa mnaangalia habari au mnabeba maneno ya vijiweni mnaleta huku..
 
Am afraid hii kitu inaweza kwenda beyond US borders!!! Protest ikazikumba nchi mbalimbali duniani!!
Kama maandamano ya Arab spring yalivyoaanza,yalianzia Tunisia

Baada muuza vitu barabarani kunyanyaswa na Polisi.. Maandamano yakaendelea na kuleta mabadiliko katika Nchi nyingi za Kiarabu
 
Rais wetu alishauriwa na kuchukua hatua sahihi, lockdown ingetengeneza civil disobedience , Marekani ni mfano mzuri wa madhara hasi ya lockdown.
 
Back
Top Bottom