Askari mwingine David Dorn, auliwa USA!

Askari mwingine David Dorn, auliwa USA!

wahamiaji wa Ulaya wengi ni weusi, pia Marekani kuna weusi bado wanahamia huko..sasa kwa huu mtafaruku wale wanaopinga uhamiaji watapata pointi zaidi
Mkuu tambua kuwa America is the land of no one, hata hao wamarekani weupe unaowaona ni zao la uhamiaji, wakaazi halisi wa Marekani ni red Indies, hao akina Trump na wengine ni wahamiaji tu hasa kutoka Uingereza enzi za kale kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
African American kumuua mzungu sio habari ila
Askari mzungu kumuua African American ni global news

Hawa jamaa wanatakiwa kuacha uhuni na utoto wanaoufanya.
 
Juzi Kati Askari mwingine kauawa na sniper,,ile nchi siyo salama kwa kuishi
Kabisa. Yaani raia wa kawaida yuko likely kuuawa na polisi Marekani kuliko kuuwa na Alshabab kwetu huku.
 
Kwahiyo Askari ambaye ni African American kauliwa na wanaodai haki ya kuuliwa kwa raia ambaye pia ni African American?!!!!
Wanapambana na Askari kwasasa ukishakua Askari hata uweje lazma uhakikishe unatetea nakulinda maslahi ama sera zataifa husika kwahio hata ukiwa warangi gani ushakua askari kwahio raia wenye hasira watakupitia tu ikibidi.
 
Acha wavune walichopanda mzee baba,m aana wao ni mabingwa wa ku support maandamano huko Hong Kong na nchi nyinginezo duniani wakisema ni haki ya wananchi kuandamana.

Nasi tunasema waandamane mpaka ikulu ya Marekani na wakiweza wamkamate mpaka Trump na wamvue lile wigi .
hakika wakikaribia White House nitaenda kuwaunga MKONO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama maandamano ya Arab spring yalivyoaanza,yalianzia Tunisia

Baada.muuza vitu barabarani kunyanyaswa na Polisi..Maandamano yakaendelea na kuleta mabadiliko katika Nchi nyingi za Kiarabu
I wish nahapa iwe kama hivi KIUKWELI.....
 
Hapa ndo akili za mtu mweusi hazieleweki, suala lilikuwa ubaguzi wa rangi. Sasa waafika wameuwa mwafrika mwenzao unadai eti ni polisi! Acha tu Trump apeleke vifaru.

Sent using Jamii Forums mobile app
Apeleke halaf atakuja kuihadithia DUNIA atakachoenda kukumbana nacho maana hatakaa asahau mpaka anachomolewa huko MBOCHI.....
 
Natamani China nako kinukishwe..
CHINA hong kong wana andamana sana ila wanaoneshwa heshma yamamlaka ninini

Hawa wanasema kuandamana ni demokrasia sasa wacha tuone

Natabiri nanatamani mpaka mwezi watisa hali itakua [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji16][emoji14]
 
hatujamalizana na janga la corona tunaingia kwenye maandamano, i wonder wat next and am scared 😞 😞
 
nashangaa hata eminem ameandamana🤣 🤣

1591180678760.png
1591180678760.png
 
Back
Top Bottom