Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
wahamiaji wa Ulaya wengi ni weusi, pia Marekani kuna weusi bado wanahamia huko..sasa kwa huu mtafaruku wale wanaopinga uhamiaji watapata pointi zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahamiaji wa Ulaya wengi ni weusi, pia Marekani kuna weusi bado wanahamia huko..sasa kwa huu mtafaruku wale wanaopinga uhamiaji watapata pointi zaidi
... Marekani ikipiga chafya dunia nzima inahara!I'm afraid hii kitu inaweza kwenda beyond US borders!!! Protest ikazikumba nchi mbalimbali duniani!!
Mkuu tambua kuwa America is the land of no one, hata hao wamarekani weupe unaowaona ni zao la uhamiaji, wakaazi halisi wa Marekani ni red Indies, hao akina Trump na wengine ni wahamiaji tu hasa kutoka Uingereza enzi za kale kabisawahamiaji wa Ulaya wengi ni weusi, pia Marekani kuna weusi bado wanahamia huko..sasa kwa huu mtafaruku wale wanaopinga uhamiaji watapata pointi zaidi
Anahara Kenya tu... Marekani ikipiga chafya dunia nzima inahara!
Kabisa. Yaani raia wa kawaida yuko likely kuuawa na polisi Marekani kuliko kuuwa na Alshabab kwetu huku.Juzi Kati Askari mwingine kauawa na sniper,,ile nchi siyo salama kwa kuishi
Wanapambana na Askari kwasasa ukishakua Askari hata uweje lazma uhakikishe unatetea nakulinda maslahi ama sera zataifa husika kwahio hata ukiwa warangi gani ushakua askari kwahio raia wenye hasira watakupitia tu ikibidi.Kwahiyo Askari ambaye ni African American kauliwa na wanaodai haki ya kuuliwa kwa raia ambaye pia ni African American?!!!!
Utakiona tu MKUU ngojea hapo hapo tuHadi sasa sijaona waandamanaji wanachopigania .
Wanafanya vurugu.
Wanaiba
Wanaua
Niaskari lakini.....Ni black-American lakn
hakika wakikaribia White House nitaenda kuwaunga MKONO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha wavune walichopanda mzee baba,m aana wao ni mabingwa wa ku support maandamano huko Hong Kong na nchi nyinginezo duniani wakisema ni haki ya wananchi kuandamana.
Nasi tunasema waandamane mpaka ikulu ya Marekani na wakiweza wamkamate mpaka Trump na wamvue lile wigi .
I wish nahapa iwe kama hivi KIUKWELI.....Kama maandamano ya Arab spring yalivyoaanza,yalianzia Tunisia
Baada.muuza vitu barabarani kunyanyaswa na Polisi..Maandamano yakaendelea na kuleta mabadiliko katika Nchi nyingi za Kiarabu
Apeleke halaf atakuja kuihadithia DUNIA atakachoenda kukumbana nacho maana hatakaa asahau mpaka anachomolewa huko MBOCHI.....Hapa ndo akili za mtu mweusi hazieleweki, suala lilikuwa ubaguzi wa rangi. Sasa waafika wameuwa mwafrika mwenzao unadai eti ni polisi! Acha tu Trump apeleke vifaru.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHINA hong kong wana andamana sana ila wanaoneshwa heshma yamamlaka nininiNatamani China nako kinukishwe..
Itakuwa Corona nyingine hiiAm afraid hii kitu inaweza kwenda beyond US borders!!! Protest ikazikumba nchi mbalimbali duniani!!
Hivi Sasa,wakati huu,saa hizi Wafaransa wanaandamana kudai haki ya mtu Mweusi alieuliwa na Polisi 2016..I wish nahapa iwe kama hivi KIUKWELI.....