Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa anatuhumiwa kwa wizi wa simu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa SACP Alan Bukumbi amesema Disemba 14, Sajenti Rogers alipokea taarifa kutoka kwa mwananchi ambaye hakumtaja jina kuwa mtuhumiwa Nashon alimwibia simu yake.
Ameeleza kuwa bila kutoa taarifa kituoni, Sajenti Rogers kwa kushirikiana na Mgambo huyo walimkamata mtuhumiwa na inadaiwa walimpiga na walipoona amepoteza fahamu, walimpeleka hospitali moja binafsi na baadaye kumhamishia, hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa ambako ilibainika mtuhumiwa, Nashon Kiyeyeu alikuwa ameshafariki.
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linawatafuta askari Polisi mmoja na Mgambo mmoja waliomuua mwananchi mmoja na kumtelekeza hospital kisha Wao kupotelea Kusikojulikana
Askari hao ni Sajenti Rogers na Mgambo Thomas ambao wamemuuwa Kijana aitwae Nashon Kiyeyeu

Ukishafikia sgt kwenye level ya uaskari you suppose kuwa mfano wa wa chini yako na pia unakuwa na experience na kazi
But then wapo wanaojisahau, exeptional ni jwtz
wakuu hawa wanaoitwa polisi sio watu wa mchezo, ilikua hivi, polisi alipewa taarifa kua Kuna jamaa ameiba simu. ndipo polisi aliamua kuongozana na mgambo na kumsaka jamaa.
walipompata wakaanza kumchezeshea kichapo. gafla jamaa hali ikawa mbaya wakampeleka kituo cha afya cha private, walipoona hali imekua mbaya wakampeleka hospital ya rufaa ya mkoa wa iringa, kwa bahati mbaya jamaa akawa tayari amekwisha fariki.
polisi ameingia mitini na kikosi cha jeshi la polisi linamsaka afande wa kituo cha ipogolo kwa mauaji ya kijana.
hii taarifa ilisharipotiwa kama uhalifu na polisi wamechukua hatua.Kwa nini hujasema ukweli wa tukio na kilichofanyika?
kwa nini unataka kuipotosha jamii??
kwa nini unataka kujenga muendekezo wa chuki dhidi ya polisi??
kuwa mzalendo!!
Polisi inapaswa kukuhoji kwa upotoshaji huu

Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa anatuhumiwa kwa wizi wa simu. View attachment 3177183
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa SACP Alan Bukumbi amesema Disemba 14, Sajenti Rogers alipokea taarifa kutoka kwa mwananchi ambaye hakumtaja jina kuwa mtuhumiwa Nashon alimwibia simu yake.
Ameeleza kuwa bila kutoa taarifa kituoni, Sajenti Rogers kwa kushirikiana na Mgambo huyo walimkamata mtuhumiwa na inadaiwa walimpiga na walipoona amepoteza fahamu, walimpeleka hospitali moja binafsi na baadaye kumhamishia, hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa ambako ilibainika mtuhumiwa, Nashon Kiyeyeu alikuwa ameshafariki. View attachment 3177284