peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Huu ulikuwa mtego Kila kitu kiliandaliwa vzri kutamatisha siku zake hpa duniani KIKWAZO alikuwa mremaNakumbuka walitoka.Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye , Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokua anaendesha marehemu Kombe. ila sijajua kesi iliishia wapi.
Mrema how?Huu ulikuwa mtego Kila kitu kiliandaliwa vzri kutamatisha siku zake hpa duniani KIKWAZO alikuwa mrema
Ingekuwa baba yako ungesema hayoMtu alikufa zamani achananae
Achana na wafu weweIngekuwa baba yako ungesema hayo
Hebu ñjoo hapa central police station kesho J3 saa3 asubuh, na taarrifa zaoKwa upendo na unyenyekevu Ninaomba mwenye taarifa sahihi kuhusu utumishi wa Askari hawa aziweke hapa Jf.
Askari hawa walihusika kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu.
Hizo ni chai tu, jamaa alishuka kabisa kwenye gari na akanyoosha mikono juu then kapiga magoti mnampigaje risasi??Nakumbuka walitoka.Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye , Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokua anaendesha marehemu Kombe. ila sijajua kesi iliishia wapi.
JK alijua alichikifanya!Nakumbuka walitoka.Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye , Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokua anaendesha marehemu Kombe. ila sijajua kesi iliishia wapi.
Sio Jk, ni Mlupaso.JK alijua alichikifanya!
Kwa akili yako ulitegemea picha ya marehemu itofautiane na picha ya jambazi??. Key word PICHA!Nakumbuka walitoka.Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye , Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokua anaendesha marehemu Kombe. ila sijajua kesi iliishia wapi.