Askari polisi Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliomuua Luteni Generali Imran Kombe tar 30.6.1996 Bado ni watumishi wa Jeshi la Polisi?

Nakumbuka walitoka Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye.

Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokuwa anaendesha marehemu Kombe ila sijajua kesi iliishia wapi.
 
Nakumbuka walitoka.Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye , Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokua anaendesha marehemu Kombe. ila sijajua kesi iliishia wapi.
Huu ulikuwa mtego Kila kitu kiliandaliwa vzri kutamatisha siku zake hpa duniani KIKWAZO alikuwa mrema
 
Kwa upendo na unyenyekevu Ninaomba mwenye taarifa sahihi kuhusu utumishi wa Askari hawa aziweke hapa Jf.

Askari hawa walihusika kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu.
Hebu ñjoo hapa central police station kesho J3 saa3 asubuh, na taarrifa zao
tuchek kwa pamoja in details , kama hao jamaa wapo kwenye parole ama la....
 
Nakumbuka walitoka.Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye , Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokua anaendesha marehemu Kombe. ila sijajua kesi iliishia wapi.
Hizo ni chai tu, jamaa alishuka kabisa kwenye gari na akanyoosha mikono juu then kapiga magoti mnampigaje risasi??
 
Nakumbuka walitoka.Dar na RPC kipindi kile alikua Alfred GEWE, niliona picha ya marehemu Kombe na picha ya jambazi waliemfananisha na Kombe White, yani wamefanana Sana Sana, inaweza walifananisha naye , Na gari Nissani safari ya muhindi iliyoibiwa ilifanana pia na gari aliyokua anaendesha marehemu Kombe. ila sijajua kesi iliishia wapi.
JK alijua alichikifanya!
 
Kwa akili yako ulitegemea picha ya marehemu itofautiane na picha ya jambazi??. Key word PICHA!
 
Back
Top Bottom