TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,534
Reaction score
5,342
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪

Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?

Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!

FB_IMG_17679369368886937.jpg
 
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maasikari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪

Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?

Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!
View attachment 3527281
R.I.P Kaka Jambazi
 
Sawa sawa sawa sawa sawa mkuu.. unayo Iona ni raha sio raha.. Utakuja kuniambia anaefilwaa huku anakula maisha ni kwamba anakula raha.. okay
Umekariri kitu kinaitwa KARMA au the LAW OF CAUSE AND EFFECT.

Vinafanya kazi kwa kiwango fulani ila siyo mara zote na siyo kwa wote.

Hii ni kwa sababu hukumu ya Mungu siyo sawa na hukumu ya binadamu pia usisahau kuna neema na rehema

Kuna wakati ubaya ni mhimu ukupate ili ubadilike

Ndiyo maana siyo kila unayemuombea mabaya lazima kweli yampate

Siyo wote wanaofanya mabaya wanapata mabaya na siyo wote wanaofanya mazuri wanapata mazuri

Hivyo karma imefundishwa ili kukufariji tu kwa muda lakini haifanyi kazi kwa wote na wakati wote
 
Umekariri kitu kinaitwa KARMA au the RULE OF CAUSE AND EFFECT.

Vinafanya kazi kwa kiwango fulani ila siyo mara zote na siyo kwa wote.

Hii ni kwa sababu hukumu ya Mungu siyo sawa na hukumu ya binadamu pia usisahau kuna neema na rehema

Kuna wakati ubaya ni mhimu ukupate ili ubadilike

Ndiyo maana siyo kila unayemuombea mabaya lazima kweli yampate

Siyo wote wanaofanya mabaya wanapata mabaya na siyo wote wanaofanya mazuri wanapata mazuri

Hivyo karma imefundishwa ili kukufariji tu kwa muda lakini haifanyi kazi kwa wote na wakati wote
Usinilishe maneno..
 
Back
Top Bottom