G
guest-1787677255
Guest
Sio ujanja kutukana bro. Unasababisha na sie tunaosoma comments tutukane.Kumá la mama yake bora lilivyokufa
Sio vyema, andika kistaarabu.
Sio ujanja kutukana bro. Unasababisha na sie tunaosoma comments tutukane.Kumá la mama yake bora lilivyokufa
Thibitisha haya usemayo mdogo wake kaka jambazi.Watu wanatabia za kingese sana na uchokonozi mwingi.
Huyu jamaa nimesoma nae chuo na nimekaa nae room moja kwa miaka 2,ili jina la big Jambazi tumeanza kumwita toka 2009 hajaingia hata uwo upolisi sema alivyoingia polisi akaendelea na aka yake.
Huyu jamaa alikuwa na utu na ni mtu mwema sana. Waulize wananchi wa Tanga Mjini.
Sema tu kafariki kipindi kibaya ambapo Polisi wanawachukiwa na watu ila jamaa alikuwa mwana sana sema kwa sababu watu wana mambo ya kichokonozi wana comm
Hakuna kupumzika kwa amani.Majitu kama haya ni psychopath and sadist, wateke, watese, na kuua they don't care! Bangi tupu hapa.
Apumzike kwa amani!
Shukuru ni hata kwa hicho kidogoAlert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪
Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?
Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!
View attachment 3527281
Kwa mjibu wa mjibu wa vitabu vilivyoandikwa ndani ya hii miaka 2000. Na usisahau dunia ipo zaidi ya mamilioni ya miaka.starehe fupi ya dunia tu...ukifika miaka 80 basi ujue umeishi muda mrefu..but it is just like blinking of an eye before GOD.
Kinachowasubiri baada ya kufa kinatisha vibaya sana.
Kwamba walikuwa na Rasta?hujawahi kusikia story ya Sativa?
Hahahamkuu ningekuwa mimi nisingetaka kujitengenezea uadui na watu...Tukae mezani kila mtu achukue stahiki zake maisha mengine yaendelee....Uzalendo ukizidi sana mwisho wake ni maumivu tu. Unajifanya mkaksi wakati wakubwa zako wenyewe wanakula mema ya nchi
Ni kweli kabisa, ila unaacha nini baada ha kifo ( legacy ipi waacha ? )kifo sio adhabu bali ni NJIA ya lazima kwa kila mtu
Hakika, ni siku nzito, tukithirishe kutenda mema mengi saaana na tujizuie mnoo ama kupunguza kutenda maovu(ukweli ni ngumu kutokukosea, sasa tujitahidi tuepuke yale makosa mazito mazito na hata haya madogo madogo kadri tuwezavyo)Hakika ni siku ngumu na ndefu mno kwa wale waliotenda maovu hapa duniani..Mtume Muhammad (s.a.w) anasema tutasimamishwa siku ya Qiyama kwa muda ambao ni sawa sawa na miaka 50,000....Hapo tumesimama tu kabla ya mzani wa mema na maovu kuletwa na kila mja kuhesabiwa yale aliyoyachuma.
Watu wataogelea kwenye majasho yao, Jua limeletwa karibu na utosi huku tupo Uchi wa mnyama ila hakuna atakayeshughulika kutazama uchi wa mwenzake. Na hakutakuwa na kivuli siku hiyo isipokuwa kivuli cha Mwenyezi Mungu kwa wale waja wake wema.
Mzazi atamkimbia mwanawe na mtoto atawakimbia wazazi wake, Ndugu watakataana na marafiki watakanana....Hakuna atakayehitaji ukaribu na mwenzake kila mtu na nafsi yake huku akiomba Mungu amnusuru kutokana na dhiki kuu.
Watasema ni AIWatakuja polisi watakanusha hajafa na sio polisi. 😁
safi sanaAlert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪
Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?
Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!
View attachment 3527281
Wewe ndio umesema ukweli na uhalisia.Watu wanatabia za kingese sana na uchokonozi mwingi.
Huyu jamaa nimesoma nae chuo na nimekaa nae room moja kwa miaka 2,ili jina la big Jambazi tumeanza kumwita toka 2009 hajaingia hata uwo upolisi sema alivyoingia polisi akaendelea na aka yake.
Huyu jamaa alikuwa na utu na ni mtu mwema sana. Waulize wananchi wa Tanga Mjini.
Sema tu kafariki kipindi kibaya ambapo Polisi wanawachukiwa na watu ila jamaa alikuwa mwana sana sema kwa sababu watu wana mambo ya kichokonozi wana comm
Wapo wa vitengo maalumu na huwa hawavai sare kazi yao huwa ni kupeleleza na kuwatia nguvuni wahalifu sugu kama majambazi na wauza madawa ya kulevya.We jamaa mwongo Jeshi la TanPol halina watu kama hao ndani ya jeshi lake wenye nywele hizo
Jamaa unanchekeshaga sana.Kumá la mama yake bora lilivyokufa
unatakiwa ukiondoka uachie familia yako biashara zako ndo utakua wa muhimu, amna anaetaka kuskia ulikufa ukiiba duka la nguoNi kweli kabisa, ila unaacha nini baada ha kifo ( legacy ipi waacha ? )