Alert[emoji599][emoji599][emoji599]
Alert[emoji599][emoji599][emoji599]
Alert[emoji599][emoji599][emoji599]
.............................................................,..
[emoji117]Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana[emoji123][emoji123]
Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?
Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!
View attachment 3527281