Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Kwahy hyu nae alikuwa mtumishi wa umma au
Mmemsingizia🤔🤔
Mmemsingizia🤔🤔
Hivi hapa JF si tulikuwa na member kaka Jambazi? Alipotelea wapi?police kaka jambazi🤔🤔🥺🥺
Hahahaha kapotea ngoja tumuiteHivi hapa JF si tulikuwa na member kaka Jambazi? Alipotelea wapi?
Malipo ya kweli yapo kwa mungu, siku hiyo ya malipo, siku ya hukumu ama kiama...Umekariri kitu kinaitwa KARMA au the RULE OF CAUSE AND EFFECT.
Vinafanya kazi kwa kiwango fulani ila siyo mara zote na siyo kwa wote.
Hii ni kwa sababu hukumu ya Mungu siyo sawa na hukumu ya binadamu pia usisahau kuna neema na rehema
Kuna wakati ubaya ni mhimu ukupate ili ubadilike
Ndiyo maana siyo kila unayemuombea mabaya lazima kweli yampate
Siyo wote wanaofanya mabaya wanapata mabaya na siyo wote wanaofanya mazuri wanapata mazuri
Hivyo karma imefundishwa ili kukufariji tu kwa muda lakini haifanyi kazi kwa wote na wakati wote
MUUAJI 🚮Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪
Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?
Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!
View attachment 3527281
Hata hiyo siku ya kiama au sijui siku ya hukumu huko kwa Mungu haitakuwa kama unavyofikiri au ulivyokaririshwa huko madrasa au kanisaniMalipo ya kweli yapo kwa mungu, siku hiyo ya malipo, siku ya hukumu ama kiama...
Hapa duniani unaweza ukatendq wema ukapata wema, bado utalipwa siku ya kiama wema uliotenda
Unaweza kutenda wema, na usipqtebhuo wema hapa duniani, lakini still siku ya kiama utalipwa wema wako.
Unaweza tenda mabaya, na usipate mabaya, still mabaya yako utalipwa siku ya kiama.
Unaweza kutenda mabaya na yakakukuta mabaya, sio kwamba umemaliza, siku ya kiama utakutqnq na malipo ya mabaya yako.
Na siku hiyo ndio kuu, unalipwa stahiki yako, sawa sawa
Mmehakikisha kafa kweli? Isije kuwa ni mbinu za kuwaficha wauaji. Wanaweza kuwapa passport na utambulisho mpya, wakawapeleka kuishi sehemu nyingine.Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪
Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?
Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!
View attachment 3527281
mbona dog janja ni mtumishi wa umma na Rasta piaKwahy hyu nae alikuwa mtumishi wa umma au
Mmemsingizia🤔🤔
Amani gani?Majitu kama haya ni psychopath and sadist, wateke, watese, na kuua they don't care! Bangi tupu hapa.
Apumzike kwa amani!
Afande kufuga rasta inategemea na kitengo alichopo, kuna vitengo wanaruhusuiwa kuvaa vyovyote ili ku blend in na kukusanya taarifa kiurahisiAlert🚨🚨🚨