Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
Wengi tu ni wezi kama ulikua bado hujuwiPolisi alafu awe jambazi, hii ikoje?
Lila na fila....!Polisi alafu awe jambazi, hii ikoje?
HavitengamaniLila na fila....!
But it's not always the case. Wapo kibao wanapanda ubaya na wanakula raha milele. UsikaririNaandika nafuta. Ukipanda wema utavuna wema, ukipanda ubaya utavuna ubaya.
Sawa sawa sawa sawa sawa mkuu.. unayo Iona ni raha sio raha.. Utakuja kuniambia anaefilwaa huku anakula maisha ni kwamba anakula raha.. okayBut it's not always the case. Wapo kibao wanapanda ubaya na wanakula raha milele. Usikariri
R.I.P Kaka JambaziAlert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maasikari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪
Jeshi la Polisi linatumika vibaya sana aisee...inakuwaje Afande akafuga rasi kama huyu Marehemu?
Mungu kajibu Maombi ya wanatanga, next episode ni Mafwele na Murilo...!
View attachment 3527281
Umekariri kitu kinaitwa KARMA au the LAW OF CAUSE AND EFFECT.Sawa sawa sawa sawa sawa mkuu.. unayo Iona ni raha sio raha.. Utakuja kuniambia anaefilwaa huku anakula maisha ni kwamba anakula raha.. okay
Usinilishe maneno..Umekariri kitu kinaitwa KARMA au the RULE OF CAUSE AND EFFECT.
Vinafanya kazi kwa kiwango fulani ila siyo mara zote na siyo kwa wote.
Hii ni kwa sababu hukumu ya Mungu siyo sawa na hukumu ya binadamu pia usisahau kuna neema na rehema
Kuna wakati ubaya ni mhimu ukupate ili ubadilike
Ndiyo maana siyo kila unayemuombea mabaya lazima kweli yampate
Siyo wote wanaofanya mabaya wanapata mabaya na siyo wote wanaofanya mazuri wanapata mazuri
Hivyo karma imefundishwa ili kukufariji tu kwa muda lakini haifanyi kazi kwa wote na wakati wote
Usinilishe maneno..