TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

Kwahy hyu nae alikuwa mtumishi wa umma au
Mmemsingizia🤔🤔
 
Malipo ya kweli yapo kwa mungu, siku hiyo ya malipo, siku ya hukumu ama kiama...
Hapa duniani unaweza ukatendq wema ukapata wema, bado utalipwa siku ya kiama wema uliotenda
Unaweza kutenda wema, na usipqtebhuo wema hapa duniani, lakini still siku ya kiama utalipwa wema wako.
Unaweza tenda mabaya, na usipate mabaya, still mabaya yako utalipwa siku ya kiama.
Unaweza kutenda mabaya na yakakukuta mabaya, sio kwamba umemaliza, siku ya kiama utakutqnq na malipo ya mabaya yako.

Na siku hiyo ndio kuu, unalipwa stahiki yako, sawa sawa
 
MUUAJI 🚮
 
Hata hiyo siku ya kiama au sijui siku ya hukumu huko kwa Mungu haitakuwa kama unavyofikiri au ulivyokaririshwa huko madrasa au kanisani

Hukumu ya Mungu ni tofauti kabisa na mawazo yako

Kile unachofikiri wewe ni kosa kwa mjibu wa uelewa wako na jinsi ulivyokaririshwa kinaweza kisionekane hivyo mbele za Mungu

Kwa hiyo tuache kukariri kwamba kila anayetenda mabaya lazima atapatwa na mabaya

"LIFE OFTEN SEEMS UNFAIR BECAUSE OF HOW WE BELIEVE THE WORLD SHOULD OPERATE".
 
Mmehakikisha kafa kweli? Isije kuwa ni mbinu za kuwaficha wauaji. Wanaweza kuwapa passport na utambulisho mpya, wakawapeleka kuishi sehemu nyingine.
 
Haya wagalatia muamini sasa albadili inafanya kazi, acheni ubishi
 
Hujawahi ona polisi mvuta bangi?
Mlevi wa gongo je?
Hivi vitu vinakatazwa au havikatazwi?
 
Afande kufuga rasta inategemea na kitengo alichopo, kuna vitengo wanaruhusuiwa kuvaa vyovyote ili ku blend in na kukusanya taarifa kiurahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…