TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

Watu wanatabia za kingese sana na uchokonozi mwingi.

Huyu jamaa nimesoma nae chuo na nimekaa nae room moja kwa miaka 2,ili jina la big Jambazi tumeanza kumwita toka 2009 hajaingia hata uwo upolisi sema alivyoingia polisi akaendelea na aka yake.

Huyu jamaa alikuwa na utu na ni mtu mwema sana. Waulize wananchi wa Tanga Mjini.

Sema tu kafariki kipindi kibaya ambapo Polisi wanawachukiwa na watu ila jamaa alikuwa mwana sana sema kwa sababu watu wana mambo ya kichokonozi wana comm
 
Aisee.
 
Redio za uongo na kweli huko TA zinasema...

Watu walikuwa na mzigo, mzigo ukazuiwa usitoke, wenye mzigo wakataka kuyamaliza kama ilivyo kawaida ya Tz maana system iko compromised kweli kweli, aaah jamaa walikataa kuyamaliza, basi wenye mzigo wakaona basi isiwe kesi, wenye mzigo wakazunguka wanavyojua wao aaah si jamaa akaanza kuchanganyikiwa mwenyewe, zinakata mara zinarudi then futi sita chini...

Inanikumbusha story ya mtoto mmoja wa mkubwa wa polisi alizuia mzigo wa wapemba kwa hila zake basi wapemba wakamwambia Sisi tunamuachia mungu afisa basi baada ya mwezi mtoto wa mkubwa kaanza kuchanganyikiwa hadi leo mwaka wa 10's Yuko road anazunguka tu peku peku....Those who cling to death, live and those who cling to life, die...
 
We jamaa mwongo Jeshi la TanPol halina watu kama hao ndani ya jeshi lake wenye nywele hizo
 
Ushahidi kama huyu ni polisi upo wapi?anafanya kazi kituo gani?jina lake? Kwahiyo mtu yoyote akiamua ku upload picha ya mtu na kumuandikia habari yoyote inabidi tuamini au sio?
 
Tunatofautiana imani, sio kosa kuamini unachoona ni sahihi
 
Looks like a Sadistic phsychopath.., minywele kama hiyo tena polisi?
 
But it's not always the case. Wapo kibao wanapanda ubaya na wanakula raha milele. Usikariri
starehe fupi ya dunia tu...ukifika miaka 80 basi ujue umeishi muda mrefu..but it is just like blinking of an eye before GOD.

Kinachowasubiri baada ya kufa kinatisha vibaya sana.
 
Hakika ni siku ngumu na ndefu mno kwa wale waliotenda maovu hapa duniani..Mtume Muhammad (s.a.w) anasema tutasimamishwa siku ya Qiyama kwa muda ambao ni sawa sawa na miaka 50,000....Hapo tumesimama tu kabla ya mzani wa mema na maovu kuletwa na kila mja kuhesabiwa yale aliyoyachuma.

Watu wataogelea kwenye majasho yao, Jua limeletwa karibu na utosi huku tupo Uchi wa mnyama ila hakuna atakayeshughulika kutazama uchi wa mwenzake. Na hakutakuwa na kivuli siku hiyo isipokuwa kivuli cha Mwenyezi Mungu kwa wale waja wake wema.

Mzazi atamkimbia mwanawe na mtoto atawakimbia wazazi wake, Ndugu watakataana na marafiki watakanana....Hakuna atakayehitaji ukaribu na mwenzake kila mtu na nafsi yake huku akiomba Mungu amnusuru kutokana na dhiki kuu.
 
mkuu ningekuwa mimi nisingetaka kujitengenezea uadui na watu...Tukae mezani kila mtu achukue stahiki zake maisha mengine yaendelee....Uzalendo ukizidi sana mwisho wake ni maumivu tu. Unajifanya mkaksi wakati wakubwa zako wenyewe wanakula mema ya nchi
 
Noma 🔥🔥🔥🎯
 

Attachments

  • Screenshot_20260110-074141.jpg
    21.2 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…