TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

Thibitisha haya usemayo mdogo wake kaka jambazi.
 
Shukuru ni hata kwa hicho kidogo
 
starehe fupi ya dunia tu...ukifika miaka 80 basi ujue umeishi muda mrefu..but it is just like blinking of an eye before GOD.

Kinachowasubiri baada ya kufa kinatisha vibaya sana.
Kwa mjibu wa mjibu wa vitabu vilivyoandikwa ndani ya hii miaka 2000. Na usisahau dunia ipo zaidi ya mamilioni ya miaka.

Ukiambiwa utoe uthibitisho wa madai yako huna

Miaka hata iwe ni 40 tu kama unaishi kwa raha kila siku ni mingi sana, lakini ukiishi kwa shida wiki 1 tu ni kama mwaka
 
mkuu ningekuwa mimi nisingetaka kujitengenezea uadui na watu...Tukae mezani kila mtu achukue stahiki zake maisha mengine yaendelee....Uzalendo ukizidi sana mwisho wake ni maumivu tu. Unajifanya mkaksi wakati wakubwa zako wenyewe wanakula mema ya nchi
Hahaha
 
Hakika, ni siku nzito, tukithirishe kutenda mema mengi saaana na tujizuie mnoo ama kupunguza kutenda maovu(ukweli ni ngumu kutokukosea, sasa tujitahidi tuepuke yale makosa mazito mazito na hata haya madogo madogo kadri tuwezavyo)

Siku moja
Mtume Muhammad ﷺ aliwauliza maswahaba wake:
“Je, mnajua mufilisi ni nani?”
Maswahaba wakasema: “Kwetu sisi, mufilisi ni yule aliyekuwa na mal, kisha ikatokea hana na dirham wala mali.”
Mtume ﷺ akasema:
“Hakika mufilisi wa umma wangu ni yule atakayekuja Siku ya Kiyama akiwa na matendo mema( swala, saumu na zaka;n.k) lakini amemtukana huyu, amemsingizia huyu, amekula mali ya huyu, amemwaga damu ya huyu, na amempiga huyu, kadhulumu yatima, kamtesa mtu n.k
Basi watalipwa kwa kuchukuliwa mema yao; na mema yao yakimalizika kabla ya haki zao kumalizika, madhambi ya waliowqkosea yatachukuliwa na kutupwa juu yao, kisha atatupwa Motoni.”

Hivyo basi hapa tunaoneshwa umuhimu wa kutenda mema kuishi na watu vizuri.. ukimpiga yule, ukamtukanq huyu, ukamdhulumu yule yoote yaandikwa, na siku hiyo ya hukumu mema yako utayakuta na mabaya yako utayakuta.. na kila mtu atalipwa kwa alichokifanya hata kama ni kidogo kama ama zaidi ya mdudu chungu, ikiwa jema atalipwa na ikiwa baya atalipwa pia.

TUPENDANE, TUTUENDEANE MEMA.
 
Watanzania wote wenye akili timamu na mapenzi mema na nchi yetu tumefurahi sana
 
safi sana
 
Wewe ndio umesema ukweli na uhalisia.
Japo katika kazi za watu (ops) alikua Hacheki na masela mavi, vishandu wanaijua kazi yake
 
We jamaa mwongo Jeshi la TanPol halina watu kama hao ndani ya jeshi lake wenye nywele hizo
Wapo wa vitengo maalumu na huwa hawavai sare kazi yao huwa ni kupeleleza na kuwatia nguvuni wahalifu sugu kama majambazi na wauza madawa ya kulevya.
Ingia Youtube tafuta zile video za mapambano kati ya polisi na majambazi Mwanza na Kigoma maporini miaka iliyopita utawaona watu kama huyu wameshika silaha wakiwawinda majambazi.

View: https://youtu.be/lFjT5dRRjLQ?si=Tpf_BhnRUfAnh_ej
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…