TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

Safi sana
 
Lipo kuzimu sahz qbabakee
 
Hakika ashukuriwe iziraili,Kaburi la.marehemu liwe na urefu wa futi 25 ile hata akifufuka ashindwe kuchomoza juu kirahisi
 
Huyu amefuga nywele tu ila sio rastaman..

Polisi hawezi kuwa rastaman na rastaman hawezi kuwa polisi

Hii pimbi haitakiwi kupumzika kabisaa.
 
Vipi marehemu kaumwa au?
 
Noma sana, haya maisha banna, jamaa ni mtu mwema sana, tena mwenye utu....kazi yake ya afisa polis mpelelezi imesababisha watu kufraia kifo chake.......Afande Frady Ngatunga hayawai kua mkatili au kua na baya na mtu......
 
Ukiwa polisi umelaanika, samaki mmoja akioza basi ni Tenga zima limeoza
 
Mkuu mpaka umemwekea alert kweli huyu alikuwa Kibaka haswa

N:B kila mtanganyika aione
 
Dec Sajenti Rambo ( Mwajuma ) kule Mji kasoro bahari alichukua namba.

Watu wanashangilia vibaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…