Ishu ni kwamba hilo jeneza la 3m litapitwa na wakati endapo atachelewa kufa, let's say kama umri wake utaongezeka zaidi akiwa hai hilo sanduku litaonekana ni la bei ndogo na halina hadhi ya kuzikia mtu mwenye status kama yeye na itabidi linunuliwe jingine la kisasa zaidi na bei kubwa. Kaburi nalo litaharibika shape yake kutokana na migandamizo ya udongo kutokana na nguvu za uvutano ardhini, na kama limejengewa na kusakafiwa vizuri hata likiwekwa tiles litaharibika tu. Makaburi yenyewe yamekuwa yakijengwa kwa gharama kubwa kutokana na hali ya mtu kiuchumi. Huyu bwana anashangaza tu ulimwengu hawezi kujizika mwenyewe atakavyo