bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ni jambo la kawaida tu kifo kipo tu hata ukikiogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakosaje damu za majambazi.Huyo mtu kama alikuwa hana hatia, atamsumbua sana.
Hata Cain alipomuua Abel, damu ya Abel ilimlilia Mungu hadi Mungu akaamka na kumuuliza Cain umemfanya nini nduguyo, na yuko wapi?
Inabidi tuzoeeNi jambo la kawaida tu kifo kipo tu hata ukikiogopa
Acha kuongozwa na hisia mkuu ,Hisia zangu ni kwamba huyu Saba Sita kuna kitu kinamsumbua kiskili
What if akapotea kama Ben saanane hilo kabur na jeneza ndugu zake wanapeleka wapi.Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.
Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya.
Msuti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo.
Huyu Saba Sita asingekuwa na muonekano wa afya, tungesema anaumwa, anatamani kufa.
Hisia zangu ni kwamba huyu Saba Sita kuna kitu kinamsumbua kiskili. Kuna mshali kacheza rafu wakati wa utumishi polisi.
Kuna harufu ya damu inamfukuzia.
Mkuu hisia ni sith sense, haiongozwi na rational thinking.Acha kuongozwa na hisia mkuu ,
Acha kuhukumu pia
Huwezi jua ametubu lini, kusubiri kifo kwa hamu kwangu Mimi ni dalili ya kuwa na amani na kuridhika na mambo ya Dunia, ila kujiua ni dalili ya kukosa amani Duniani na kuona maisha ni kama mzigo,.
Kuogopa kifo ni dalili ya kutokuridhika na mambo ya Dunia , yote yanaenda na Muda na matukio ya kimaisha, una miaka 65 Bado unaogopa kufa ! Kwa Nini usianze kujiandaa kwa kusali na kutenda mema! Maana ukizidi San ni miaka 16 mbele, hiyo mingine ni ziada na usumbufu
Zaburi 90:10
[10]Siku za miaka yetu ni miaka sabini,
Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;
Na kiburi chake ni taabu na ubatili,
Maana chapita upesi tukatokomea mara.
The days of our years are threescore years and ten; and if by reason of strength they be fourscore years, yet is their strength labour and sorrow; for it is soon cut off, and we fly away.
Ni kina nani wanaomtafuta?Mkuu hisia ni sith sense, haiongozwi na rational thinking.
Wengine wanasema machale yanamcheza mtu.
Huyu ndugu yetu Saba Sita macahe yake yanamfukuzia aingie ardhini ajifiche kwa mauti, ili wanaomtafuta na hawaonekani wasimpate.
Naona bado ya kustaafu kwasababu wanakuwa idle ndio wanapatwa na mawazo ya mambo ya nyuma. Ambapo mtu akikosa kazi huwa automatically anakuwa na mawazo mawazo hasa ya majutoAlishaua sana watu pindi ni askari polisi mkoa wa morogoro..sasa damu alizozimwaga zinamlilia.mmsishangae hata akajiua ndio hali iwatokeao ma veterans wa jeshi...huwa wanapata ugonjwa wa kisaikolojia uitwao PTSD (post traumatic stress disorder)...ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hushindwa kurejea katika hali ya kawaida mara baada ya kukumbana au kushuhudia matukio ya kutisha (kama umwagaji damu,mauaji n.k).
Hili swala huwa halipaziwi sana sauti hapa TZ ila lipo na huwaiumba sana maaskari na wanajeshi wastaafu...akili zao huwa hazikai sawa...muda wote huwa na wasiwasi.
ASP ni chini ya SP na SSP. Nadhani alikuwa SPASP ni kaafisa kadogo tu
Kwa cheo hicho hata pesa ya jeneza hawezi kuwa nayo kwasasa labda kama alikuwa jambazi