tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyu tunamjua katoa sana roho za majambazi...istoshe task yake ya mwisho ilikua kibiti napo kaua sana...damu za watu,kisukari kikali kinamlaNi mipango madhubuti kukwep a wanafamilia kuanza kuwaza waanzie wapi na michango.
Ametumia haki yake na kwa kuwa binadamu iko siku hatujui yeye amejiwekea vizuri likitokea la kutokea kila.kitu kiko sawia.
Pesa zenu za michango kaeni nazo.
Aungwe mkono na pia wewe unaweza kulianzisha.
Kipindi mgodi wa ray kishumbua umeua yeye alikua mlinzi wa tajiri na ndio alizamisha wakora wengi waliofia huko mgodini...issue ya kibiti alikua kiongozi wa kutoa roho za watu7676 ni namba yake ya jeshi.
Wala hakuwa mbaya kama mnavyo fikiria. Ila tangu ujana wake ni mtu wa masifa. Ali anza kazi Arusha mjini.
Ana li update usikae sana kwenye maisha ya zamaniIshu ni kwamba hilo jeneza la 3m litapitwa na wakati endapo atachelewa kufa, let's say kama umri wake utaongezeka zaidi akiwa hai hilo sanduku litaonekana ni la bei ndogo na halina hadhi ya kuzikia mtu mwenye status kama yeye na itabidi linunuliwe jingine la kisasa zaidi na bei kubwa. Kaburi nalo litaharibika shape yake kutokana na migandamizo ya udongo kutokana na nguvu za uvutano ardhini, na kama limejengewa na kusakafiwa vizuri hata likiwekwa tiles litaharibika tu. Makaburi yenyewe yamekuwa yakijengwa kwa gharama kubwa kutokana na hali ya mtu kiuchumi. Huyu bwana anashangaza tu ulimwengu hawezi kujizika mwenyewe atakavyo
Niliwaza hivi hata mimi maana Saba sita namjua plus na maelezo ya baadhi ya wadau humu!Akishamaliza yote atajiua
7,6 maana yake ni sabasita (Jina lake) siyo umriAna miaka 76 ?
Huyo nasikia aliua sana kipindi chake ,ilo jina la sabasita means ni NJUGU hizo alizokuwa anamiminia watu.
Basi damu za watu zitakuwa zinamsumbua, maana kastaafu mwaka jana. Miaka 61 sio mingi sana, badala ya kufanya maendeleo, yeye anawaza mambo ya mazishi tu. Kina Kishimba, Bakressa wana miaka 70+ na wanatafuta pesa mpaka sasa.Huyo nasikia aliua sana kipindi chake ,ilo jina la sabasita means ni NJUGU hizo alizokuwa anamiminia watu.
Volodimiri Zelensiki inaonesha huyu jamaa alikuwa muovu?Alimuua Alizona kule morogoro. Uliza wanao mfahamu. Jinga wewe