Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Huyu inaonekana hakuenda uonevuTutaongea lugha moja siku si nyingi!
Huyu inaonekana hakuenda uonevuTutaongea lugha moja siku si nyingi!
Duuh hatari!View attachment 3660587
View attachment 3660588
Habari ya kazi kaka. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania.
Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa upande wa mauaji na utekaji wao. Amekuwa akipinga mpaka akahamishwa kituo cha kazi kutoka Dar es Salaam, Ukonga, kwenda Tanga.
Jeshi la Polisi lilimshikilia ndugu yangu, Mwita Mecky Milumbe, mwenye force namba H.1796, kuanzia tarehe 21 mpaka tarehe 28, tulipopata simu kutoka kwa watu wa karibu naye wa kituo cha Tanga kuwa amefariki kwa kujinyonga.
Lakini hajajinyonga. Wamempeleka msituni, wamemtesa sana wakiwa wamemfunga pingu, ikiwa ni pamoja na kumkata visigino, kumkata pua, kung’oa kucha, kumtoboa macho na kumuingizia chupa sehemu za haja. Kisha wakamrudisha mahabusu na kumtundika kwa T-shirt yake.
Mtu aliyetuandalia taarifa alituambia tusimtaje kwa kuwa tutamuharibia kwa viongozi wake.
Naomba msaada wako kutupazia hili. Yote haya ni kwa sababu ya kupinga utekaji ambao walikuwa wanatakiwa kuufanya yeye kama mmoja wa Special Field Force Unit.
Mpaka sasa wametukabidhi mwili, lakini wamezuia simu zake na wamekatalia kushiriki kwa chochote katika mazishi.
Msiba upo Kitunda Mwanagati, njia panda ya kwenda Kibeberu. Ukiwa hapo panapoitwa Nyangasa, kama unaenda Mwanagati, ukiuliza kwa Mama Mwita utaelekezwa. Mama yake ni maarufu kwa kufuga nguruwe.
Polisi walileta tu mwili na wakaondoka jana jioni Tarehe 30.8.2026 saa 10, na hakubaki hata mmoja.
Poleni sana,View attachment 3660587

Hatari Kwa Tanzania!Poleni sana,
Kama taarifa hizi ni za kweli, basi huko tunakoelekea ni Kobaya sana,
Hivi inakuajje askari unapewa amri ya kumfanyia ukatili mwenzako kiasi hicho, au hata raia tu,
Hao wanakutuma ipo siku nawe pia yatakukuta kama hayo,
Pole sana mkuu, tuna serikali ya hovyo sana sasa, kuna siku wote waliohusika watawajibikaMimi mwenyewe nikionaga askari kapanda ana mibavu ntakuwa ninamashaka na wale watekaji, haiwe
Mkuu mimi likija suala la polisi kuumizana wao kwa wao hata sishtuki aiseeee kwa sababu Mwanza mdogo wangu alikuwa ni mmoja ya waliokuwa kwenye Banda la mpira waliomiminiwa risasi na hao polisi bila huruma ni Bora wangemchukua wakamfunga maisha tukawa tunamtembelea hata Kila mwisho wa mwaka
View attachment 3660572
View attachment 3660571
POLISI MWITA MILUMBE ATESWA NA KUUWAWA , NDUGU WAONBA MSAADA.
Habari ya kazi kaka Mwaipaya. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania.Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa upande wa mauaji na utekaji wao.
Amekuwa akipinga mpaka akahamishwa kituo cha kazi kutoka Dar es Salaam, Ukonga, kwenda Tanga.Jeshi la Polisi lilimshikilia ndugu yangu, Mwita Mecky Milumbe, mwenye force namba H.1796, kuanzia tarehe 21 mpaka tarehe 28, tulipopata simu kutoka kwa watu wa karibu naye wa kituo cha Tanga kuwa amefariki kwa kujinyonga.
Lakini hajajinyonga. Wamempeleka msituni, wamemtesa sana wakiwa wamemfunga pingu, ikiwa ni pamoja na kumkata visigino, kumkata pua, kung’oa kucha, kumtoboa macho na kumuingizia chupa sehemu za haja. Kisha wakamrudisha mahabusu na kumtundika kwa T-shirt yake.Mtu aliyetuandalia taarifa alituambia tusimtaje kwa kuwa tutamuharibia kwa viongozi wake.
Naomba msaada wako kutupazia hili. Yote haya ni kwa sababu ya kupinga utekaji ambao walikuwa wanatakiwa kuufanya yeye kama mmoja wa Special Field Force Unit.Mpaka sasa wametukabidhi mwili, lakini wamezuia simu zake na wamekatalia kushiriki kwa chochote katika mazishi.Msiba upo Kitunda Mwanagati, njia panda ya kwenda Kibeberu.
Ukiwa hapo panapoitwa Nyangasa, kama unaenda Mwanagati, ukiuliza kwa Mama Mwita utaelekezwa. Mama yake ni maarufu kwa kufuga nguruwe.Polisi walileta tu mwili na wakaondoka jana jioni Tarehe 30.8.2026 saa 10, na hakubaki hata mmoja.
View attachment 3660573View attachment 3660574
Hawakujipanga,na kama walijipanga,wamechoka na Mambo HAya,wanataka yawe wazi!View attachment 3660578
Upolisi ni laana. Mwenhe ni laana.
Mtu akijinyonga anajitoa macho, anajikata kisigino, na kujing'oa kucha?
Lakini pia, mateso yote hayo ya nini kama mtu mmedhamiria kumuua. Labda kama ishu alikuwa aijua wakataka afunguke ndiyo wakaanza mdogo mdogo. Mnahisi atawachoma, piga ya kichwa kazi kwisha,, then Polis waseme alikuwa na ugomvi nq Chadema .Uskute mnapindisha stori! Mbona ana sura ya utekaji!
tumbo mbeleIGP anapiga kimya!