Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

Sasa umeambiwa usiseme na umesema umemponza aliyekupa taarifa maana umejitaja wewe ni kaka yake jiandae hapo utamtaja hadi aliyekupa hizo taarifa

USSR
 

Attachments

  • IMG-20260827-WA0003.jpg
    IMG-20260827-WA0003.jpg
    82 KB · Views: 9
Huyu naye alikuwa hajielewi,kama kitu unapinga na wenzio hawakuungi mkono na wewe una misimamo yako,si bora tu uache kazi uendelee na maisha mengine,kuna ulazima gani unapinga kitu halafu unabaki humohumo kwenye system wakati unajua fika kuwa huwezi kumshinda bosi wako kwa chochote...?
 
Hii ni habari ya uzushi.
Ni habari za kuokotezaokoteza.
Swali: Hiyo mijeraha, matobo kwenye mwili wa Mwita mliviona mwili ukiwa nyumbani au ukiwa mortuary?
Mwili uliletwa nyumbani na polisi waliomuua baada ya kukamilika hatua zote kuelekea kuzika au uliletwa kwa ajili ya kaonyesho?
Kama police wamegoma kushiriki huo msiba kwanini ndugu hawajaambiwa waufuate mwili wenyewe?
Hizo hekaya zenu mtawapata wajinga wajinga tu
 
Back
Top Bottom