Ukishaona taarifa kama hiyo ujue marehemu ameteswa sana na polisi kabla ya kufa.Polisi wametupiga marufuku eti tusiendelee kujadili kuhusu hiki kifo. Hawataki watu tuseme🤣🤣🤣
View attachment 3660763
Mbona EN KajitoaHuyu naye alikuwa hajielewi,kama kitu unapinga na wenzio hawakuungi mkono na wewe una misimamo yako,si bora tu uache kazi uendelee na maisha mengine,kuna ulazima gani unapinga kitu halafu unabaki humohumo kwenye system wakati unajua fika kuwa huwezi kumshinda bosi wako kwa chochote...?
Anaitwa Mwita Mecky Mirumbe halafu Force Number yake inaanzia na H...!? HAIWEZEKANI!
POLISI MWITA MILUMBE ATESWA NA KUUWAWA , NDUGU WAONBA MSAADA.
Habari ya kazi kaka Mwaipaya. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania.Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa upande wa mauaji na utekaji wao.
Amekuwa akipinga mpaka akahamishwa kituo cha kazi kutoka Dar es Salaam, Ukonga, kwenda Tanga.Jeshi la Polisi lilimshikilia ndugu yangu, Mwita Mecky Milumbe, mwenye force namba H.1796, kuanzia tarehe 21 mpaka tarehe 28, tulipopata simu kutoka kwa watu wa karibu naye wa kituo cha Tanga kuwa amefariki kwa kujinyonga.
Lakini hajajinyonga. Wamempeleka msituni, wamemtesa sana wakiwa wamemfunga pingu, ikiwa ni pamoja na kumkata visigino, kumkata pua, kung’oa kucha, kumtoboa macho na kumuingizia chupa sehemu za haja. Kisha wakamrudisha mahabusu na kumtundika kwa T-shirt yake.Mtu aliyetuandalia taarifa alituambia tusimtaje kwa kuwa tutamuharibia kwa viongozi wake.
Naomba msaada wako kutupazia hili. Yote haya ni kwa sababu ya kupinga utekaji ambao walikuwa wanatakiwa kuufanya yeye kama mmoja wa Special Field Force Unit.Mpaka sasa wametukabidhi mwili, lakini wamezuia simu zake na wamekatalia kushiriki kwa chochote katika mazishi.Msiba upo Kitunda Mwanagati, njia panda ya kwenda Kibeberu.
Ukiwa hapo panapoitwa Nyangasa, kama unaenda Mwanagati, ukiuliza kwa Mama Mwita utaelekezwa. Mama yake ni maarufu kwa kufuga nguruwe.Polisi walileta tu mwili na wakaondoka jana jioni Tarehe 30.8.2026 saa 10, na hakubaki hata mmoja.
Pia soma:Polisi Tanga: Askari Mwita alifariki kwa Kujinyonga, Uchunguzi unaendelea
Ni wazo lililoniingia kichwani mwanzo kabisa niliposoma habari za huyu mhanga, kule kwenye mada ya taarifa iliyotolewa na polisi.Mimi nahisi, huyu kosa lake ni kumpa maji Kazungu Bakari Kazungu(kada wa CCM) kipindi walipomteka. Nadhani huyu CCM alitakiwa wamuue hawakumuua. So kutokana na misimamo yake wakaona atavujisha siri.
Huyu Abdul anawadanganya. Wote mnaohusika na mauaji ya ndugu zetu mtajulikana. Ni jambo la muda tu
Hapo utakuta katika kundi hilo lililoleta mwili kuna rafiki zake kadhaa na wameumizwa na kilichotokea, ila kwakuwa jeshini ni sehemu ya kushikiwa akili hawakuwa na choice zaidi ya kutii amri ya kiibilisi.Polisi walileta tu mwili na wakaondoka jana jioni Tarehe 30.8.2026 saa 10, na hakubaki hata mmoja
Si ninasikia mmetumiwa ndege mrud bongoHakuna aliye salama.
Bora mie BICHWA KOMWE niko zangu sauzi nauza mbunye kwa mabeberu.
Hahahaha Acha masihara basi.Anaitwa Mwita Mecky Mirumbe halafu Force Number yake inaanzia na H...!? HAIWEZEKANI!
Nitaeleza; Force Number ya askari wa Tanzania inatakiwa ianze na herufi ya kwanza ya jina la ukoo (Surname). Mfano mimi naitwa Mtoto wa Shule" hivyo kama ningelikuwa askari Force Number yangu ingelianza na "S.....". Kwa huyu, ilitakiwa Force Number yake ianze na "M..."!
Ebu jipangeni kabla ya kuucheza huu mchezo!!
Kama sio askari mwema, amesnitch maaskari wenzio ambao sio wema? Kwahiyo jeshi letu la polisi lina maaskari wasio wema? na kumbe askari asiyemwema adhabu yake ni hiyo? mmeiandika au mmejitungia?Sura tu inaonyesha huyu bwana si askari mwema! Haina nuru
Deep down labda ali snitch wenzie
Inakuwaje propaganda wakati huko juu umekiri kuwa huyu sio askari mwema na amesnitchiwa na wabaya wenzie…Ila kwa sababu zenu za propaganda mnaletaga habari kinyume nyume kutia sumu
Mliokota dodo October 29 tu sasa hivi Watanzania wanachanganya na za kwao
Wacha wauane...