Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

Duuh hatari!
 
Poleni sana,

Kama taarifa hizi ni za kweli, basi huko tunakoelekea ni Kobaya sana,

Hivi inakuajje askari unapewa amri ya kumfanyia ukatili mwenzako kiasi hicho, au hata raia tu,
Hao wanakutuma ipo siku nawe pia yatakukuta kama hayo,
 
Pole sana mkuu, tuna serikali ya hovyo sana sasa, kuna siku wote waliohusika watawajibika
 
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…