Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

Kumbe nao huwa wanakufa?
 

Ni kwanini wasio julikana wanapenda kutumia mlango was nyuma was wahanga ktk udhalilishaji n utesaji wao??
 

Nchimbi hajatoka? Kilichofuata nini? Huyo asingeruhusiwa kutoka kwa amani, ni angekutwa tu.
 
Utamaduni mpya kutoka Zanzibar huu. Walikuwa wanafanyiana hivi tangu wakati wa CUF. Kinara wake ni Abdul.
Iwe wake up call kwa askari wengine wapenda haki..
Nilisikia ile audio iliyo leak Mafwele akiwapiga mkwara askari wa chini kwamba kuunga mkono harakati au kutofuata amri za wakubwa ukikamatwa huna maisha...

Akasema na Tesha ni mhuni katoroka nchi...
 
Mungu simama na mwananchi wa kawaida. Acha polisi wafe tu. Asante kwa kujibu maombi ya mwananchi mapema. Baba yetu ulye juu mbinguni maaskari wako ndio walinzi tosha, wengine miyeyusho baba simama nasi ni katika jina mwanao yesu kristo. Amen
 
Sura tu inaonyesha huyu bwana si askari mwema! Haina nuru

Deep down labda ali snitch wenzie

Ila kwa sababu zenu za propaganda mnaletaga habari kinyume nyume kutia sumu

Mliokota dodo October 29 tu sasa hivi Watanzania wanachanganya na za kwao
 
Inasikitisha na kuumiza. Sasa labda hawa polisi wataanza kuona umuhimu wa kuacha kutumika na hii serikali.
 
Duuh,
Makubwa haya.

Wana policcm walio wema kwa ujumla wao (kama wapo) wajifunze kupitia hili tukio la kinyama sana dhidi ya mwenzao asiye na hatia
 
Askari inabidi waanze kuwageuzia bunduki wakubwa wao wanaowapa amri haramu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…