Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

Nahisi Kuna kitu atakuwa alimfanyia mtu na sio kitu kidogo watu wa usalama kuna mengi wanafanya May his soul rest in peace
 
Mbona EN Kajitoa

Na hajulikani alipo?!?
 
Anaitwa Mwita Mecky Mirumbe halafu Force Number yake inaanzia na H...!? HAIWEZEKANI!
Nitaeleza; Force Number ya askari wa Tanzania inatakiwa ianze na herufi ya kwanza ya jina la ukoo (Surname). Mfano mimi naitwa Mtoto wa Shule" hivyo kama ningelikuwa askari Force Number yangu ingelianza na "S.....". Kwa huyu, ilitakiwa Force Number yake ianze na "M..."!

Ebu jipangeni kabla ya kuucheza huu mchezo!!
 
Ndugu nendeni Zimbabwe hapo Masvingo na nguo zake za kazi mtaamua ninyi muwafanye nini wauaji kupaza sauti tushapaza sana ila wanaendelea kuua mkiamua ukoo wote kwa wauaji muufute inawezekana tu hapo sio hadithi..
 
Ni wazo lililoniingia kichwani mwanzo kabisa niliposoma habari za huyu mhanga, kule kwenye mada ya taarifa iliyotolewa na polisi.
 
Polisi walileta tu mwili na wakaondoka jana jioni Tarehe 30.8.2026 saa 10, na hakubaki hata mmoja​
Hapo utakuta katika kundi hilo lililoleta mwili kuna rafiki zake kadhaa na wameumizwa na kilichotokea, ila kwakuwa jeshini ni sehemu ya kushikiwa akili hawakuwa na choice zaidi ya kutii amri ya kiibilisi.

Katika kipindi chote nitakapokuwa hai nitahakikisha katika uzao wangu wote hakuna mtu hata mmoja anayejiunga na jeshi lolote lile katika nchi hii.
 
Hahahaha Acha masihara basi.
 
Sura tu inaonyesha huyu bwana si askari mwema! Haina nuru

Deep down labda ali snitch wenzie
Kama sio askari mwema, amesnitch maaskari wenzio ambao sio wema? Kwahiyo jeshi letu la polisi lina maaskari wasio wema? na kumbe askari asiyemwema adhabu yake ni hiyo? mmeiandika au mmejitungia?

Ila kwa sababu zenu za propaganda mnaletaga habari kinyume nyume kutia sumu
Inakuwaje propaganda wakati huko juu umekiri kuwa huyu sio askari mwema na amesnitchiwa na wabaya wenzie…

Desperation huwa inawafanya mjibu vitu ambavyo hamuelewi implications zake.

Mliokota dodo October 29 tu sasa hivi Watanzania wanachanganya na za kwao
 
Wacha wauane...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…