Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Mnaobeza hili,kwa hiyo Mitandao ya kijamii ifungwe basi,maana Mama kasoma maoni yenu Mtandaoni Halafu mna dis
 
Hajasema yeye rais, amesikia mitandao ya kijamii wanasema.
 
Asnte
 
Wapo ambao ni wapo makini zaidi kama Steven nadhani alistaafu huyu Mzee Mimi kwa kuona kwangu alikomesha ujambazi mbeya na tulikua tunashinda nae mtaani RPC anapata taarifa mwenyewe na baadae anakuja na vijana wa kazi akiwa na uhakika kabisa...
 
Rais hatambui lolote hata jina la huyo Askari halijui yeye kasoma tu mitandaoni hizo taarifa za ujambazi na watu kumtaka huyo askari nae akachukua kama zilivyo kutoka huko mitandaoni.
 
Rais hatambui lolote hata jina la huyo Askari halijui yeye kasoma tu mitandaoni hizo taarifa za ujambazi na watu kumtaka huyo askari nae akachukua kama zilivyo kutoka huko mitandaoni.
Huenda hoja yako ni ya kweli au si kweli siwezi kubisha wala kukubali maana sifahamu.
 
Nahofia muda utappoanza kutoa hukumu, nani na nani watabaki wamesimama?

Mama yetu kuna mambo anafanya yanaukakasi na ukiyatizama kwa kina yana kiza kikubwa Sana.

Nahofia yule Dr. Aliyepaa sana kabla kudondoka anaibuka shujaa wa maneno na matendo yake.
 
Sukuma Gang ndo wanataka discredit utawala wa Madha
 
hivi kwanini mama huwa hatoi orders kama commander in chief, huwa anapenda kusema tutaangalia huko mbele. pale kwa majambazi alitakiwa kusema, sitaki kusikia ujambazi Dar.
Yani Mama hatoi amri yeye anawaambia tu mkaali shughulikie hili jambo na ndio kamaliza hapo.
 
Mnaobeza hili,kwa hiyo Mitandao ya kijamii ifungwe basi,maana Mama kasoma maoni yenu Mtandaoni Halafu mna dis
Alitakiwa kwenda zaidi ya hapo na sio kuishia tu kusoma mitandaoni issue kama hii ya usalama halafu anakuja kuongea vilevile alivyoongea, inaonesha hajalipa uzito jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…