Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Hhujawai kuona wazazi ambao hawajamaliza la saba ila wamefikisha mtt chuo kikuu na wazazi ambao ni ma profesa wakashindwa kufikisha mtt chuo kikuu?
Je huyo wa chuo kikuu/msomi anafanya kazi pekeake kutokomezA tatizo?
Je changamoto za jeshi la polisi kudhibiti umezifanyia uchunguzi na kupata majibunkuwa tatizo ni darasa la saba?
Kuna maeneo mengi ya kimedani na hata kiuongozi ambapo form four failure ambao automatic wanakuwa std seven wamewazidi wasomi wetu uwezo.

Pia mawazo yangu hii ni km kiashiria cha tatizo inakupasa tufanye utafiti tuje na majibu yasio na kebehi ila sululisho la kudumu lipatikane .
Watanzania wengi tunapenda kuonyesheana vidole na lawama kuliko kuonyesha ufumbuzi wa tatizo linalotukabili.
Jamaa anachoamini katika medani ukiwa na bachelor degree fresh from form six div 1 au 2 ndo unakuwa balaa? [emoji16][emoji16][emoji16] Afrika bana bado safari ndefu kuna jambo ningempa ufafanuzi ila nikukaa kimya tu.

Hana anachojua kuhusu medani ya kivita.
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Hajasema hivyo,kamwambia igp alishughulikie hilo tatizo
 
Si Mara ya kwanza hapo anatakiwa arejeshwe kiongozi wa polisi ambaye atapanga,atasimamia na akitekeleza na Askari wenzake.
Hii inakumbusha miaka kadhaa huko mbeya waliwahi kudai kurudisha RPC kama sijakosea RPC Sangu alipuguza ujambazi kwa kiasi kikubwa alipoamishwa ukatudi kwa kasi.
Sio swala Askari mmoja ni kiongozi alidhibitika kufanikiwa kupanga,kuongoza na kutekeleza kwa pamoja na wenzake.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Camilius Wambura aliyekuwa ZCO DAR ES SALAAM,Kwa Sasa nasikia amepelekwa makao makuu.Huyu mzee ilikuwa acheki na majambazi ni mwendo wa chuma tu,nasikia majambazi walikuwa wanaogopa sana.sasa tangu atolewe inaonekana pamepwaya sana
 
yes you are right he was one of those rare species the world has ever witnessed.
it's very regrettable the specie in question happened to live on our beautiful land. Yes you are right.
Yeah, very regrettable as the Jews did to Jesus Christ!
 
Sio dar es salaam tu hata Sasa dodoma wameingia wanapiga chuma kweupe .....

Kasi ya kurudi kwa matukio imeongezeka...Hadi tunashauriwa pesa zetu tuweke kwenye simu. Tusitembee na cash....biashara zimeanza kuogopa kukeaha....mpesa zinaanza kufungwa mapema....sisi wenye ngombe maporini sijui itakuwaje....

Ni tatizo la kitaifa...Mama IGP litizameni vema hili

Wataalam wanasema namba haziongopi.....takwimu zipo....Nini zimesababisha takwimu za matukio ya ujambazi zipande? Mbona serekali na polisi Ni wale wale? Au polisi wanakuogopa Mama (mh Raisi) utawageuka wakifanya yao? Labda Wanakuona umekaa kihaki za binadamu zaidi?? Labda hawajakusoma.....naomba ongea na polisi uwahakikishie ulinzi wakiwa kazini. Wapatie polisi maelekezo yaliyonyooka.

Usalama wa raia na Mali zao Ni Chachi Bora ya kukusa uchumi. We need to move to 24 hrs economy....

Na Kule nomesikia pahala mgao wa umeme umeanza...kuwa.mwangalifu hujuma za wauza genereta inawezekana zimeanza....chunga na bwawa lako mtera easier wameanza kulihujumu.....tumia vyombo vyako vya ulinzi nanusalama kuendesha nchi...Hakuna namna nyengine watakifelisha tu....usicheze na kiumbe inaitwa binadamu ikiwa kwenye chocho zake.....wengi wanaokusifia Ni waharibifu
 
Umemaliza vizuri "wengi wa wanaomsifia ni waharibifu".
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Kila kitu kinakufa...kauli za Kitoto sana hizi. Najua Demokrasia ilikufa sasa itafufuka..
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Bila shaka atakuwa anatajwa askari wa cheo cha juu, RPC au wale wakuu wa idara za upelelezi n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Hii issue ya ujambazi tulishaisema hapa haya mengine ni kelele tu, kwani late Pombe alitumia njia gani tukawa hatusikii hiki mnachokisema?.

Kuna wakati hutakiwi kusema 'naomba' ni amri tu, sasa rais aanze kuomba na raia atatumia kauli gani hapo!!.
 
Ishu siyo mtu, ni matukio. Huyu IGP aliwahi kuambiwa na Jiwe akiwa RPC DAR awanyang'anye hawa wajinga silaha haraka haraka na ndo maana ujambazi ulipungua wakati ule, leo mama kadokezwa kuwa ule ujinga umerudi so amemkumbusha Siro, asipime kina cha maji. Siku zote majambazi ni Polisi, yaani aendelee pale Jiwe alipoachiwa. MUHIMU, MAJAMBAZI NI ASKARI POLISI, Period
Kuna ukweli hapa
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Kwasababu huyo JPM wako hakujenga taasisi alitaka nchi imtegemee yeye kitu ambacho kingeleta lana kwenye ardhi yetu.
 
hivi kwanini mama huwa hatoi orders kama commander in chief, huwa anapenda kusema tutaangalia huko mbele. pale kwa majambazi alitakiwa kusema, sitaki kusikia ujambazi Dar.
Na kwanini Magu hakusemaga majambazi wapigwe risasi badala yake akasema Wanyang'anywe silaha haraka haraka?
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6

Unasemaje wewe??hebu acha kufuru zako ww Msukuma,usitukumbushe kuhusu hilo jinamiz,Tokea aondoke huyo jamaa peace of mind imepatikana kwa kias kikubwa sana,simaanish kuwa soon baada ya kuondoka hali ya maisha nayo imebadilika na kwamba tuna pesa la hasha,Ila after kwenda zake at least Kuna hope ya kumake future,we unamuza vip huyo jamaa??Acha zako ww
 
Back
Top Bottom