Jamaa anachoamini katika medani ukiwa na bachelor degree fresh from form six div 1 au 2 ndo unakuwa balaa? [emoji16][emoji16][emoji16] Afrika bana bado safari ndefu kuna jambo ningempa ufafanuzi ila nikukaa kimya tu.Hhujawai kuona wazazi ambao hawajamaliza la saba ila wamefikisha mtt chuo kikuu na wazazi ambao ni ma profesa wakashindwa kufikisha mtt chuo kikuu?
Je huyo wa chuo kikuu/msomi anafanya kazi pekeake kutokomezA tatizo?
Je changamoto za jeshi la polisi kudhibiti umezifanyia uchunguzi na kupata majibunkuwa tatizo ni darasa la saba?
Kuna maeneo mengi ya kimedani na hata kiuongozi ambapo form four failure ambao automatic wanakuwa std seven wamewazidi wasomi wetu uwezo.
Pia mawazo yangu hii ni km kiashiria cha tatizo inakupasa tufanye utafiti tuje na majibu yasio na kebehi ila sululisho la kudumu lipatikane .
Watanzania wengi tunapenda kuonyesheana vidole na lawama kuliko kuonyesha ufumbuzi wa tatizo linalotukabili.
Hana anachojua kuhusu medani ya kivita.